Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
Hahahahaha umemaliza siku yangu kwa kicheko kikubwa haswa
 
Kila mtu ni billionaire bhana. Tunatofautiana tuu tarakimu. Hata Tsh 10,000/= unaweza itamka $0.0000000045 billion. Huyo Rihanna aache kurusha roho wake zetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sex in the pool dah haya maisha bana mhhjjj haya bana
 
Wanasema once you go black you can't go back. Waarabu nao wamegundua utamu wa papuchi za weusi. Bila shaka hawa mabilionea wataanza kushuka na hapa Bongo 😵😵😵 ili kuja kufanya yao, ila wasiwasi wangu wanataka celebrities tu tena wale wanaojulikana dunia nzima siyo hawa wa kwa Mtogole 😎😎😎

Maisha mafupi sana acha atumbue.Huyu kaka aliwahi kuwa mpenzi wa Naomi Campbell
 
Kwa kifupi, acheni nongwa

Kwanza someni CV ya Huyo mwarabu, kwanza mtajua ni msela na mtu wa kujirusha sana. Msijifanye mnamsaidia eti amuache Riri kwakua ni gold digger.
Haiingii akilini riri atampataje kijana mtaratibu wakati ye mwenyewe ni mtu wa kujirusha.
These two worlds dont work. They say birds of the same flock fly together.
So Riri anataka rude boy sio watoto wa mama.

Ndio maana mwarabu alishabanjuka na naomi cambel ambaye aliwahi kua mpenzi wa mike tyson na p.diddy wakati fulani wayback.

So mwarabu naye ni muhuni kama
Wengine. Na jangwa bado linatoa kiwese. Na ndio maana alipomuona alijua
Amepata type yake.
Huruma zenu pelekeni mahospitalini.
You're genius man ....
 
Wanasema once you go black you can't go back. Waarabu nao wamegundua utamu wa papuchi za weusi. Bila shaka hawa mabilionea wataanza kushuka na hapa Bongo 😵😵😵 ili kuja kufanya yao, ila wasiwasi wangu wanataka celebrities tu tena wale wanaojulikana dunia nzima siyo hawa wa kwa Mtogole 😎😎😎

Na siku wakikosea njia wakakamata kuku wa kienyeji kutoka kwa Mtogole Hachomoki Mtu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hilo ndo linalotunyima fursa Dada zenu wa kwa mtogole
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh! Hawa akina Rihanna hawajui mautundu ya yale majambo yetu kama hawa mabinti wa kwa Mtogole.

Back
Top Bottom