Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

Kuna
Kuna labda taifa lolote ambalo limeweka zuio kisheria uvaaji wa hayo mavazi?
Je, bible ya Waroma ina msitari unaokataza mtu asiye kuwa mtawa kuvaa hayo mavazi?

Je,kuna zuio mahala popote lilopo kisheria ama kiimani kwa mtu asiyekuwa Mroma kuvaa hayo mavazi?

Kama hakuna vielelezo vya hayo maswali yangu niko pamoja na Rihana.
 
Unajua sababu za vurugu ni nn duniani? Usipende kuingilia maamuzi ya watu ,unaweza kuwa sawa kwako ila kuingilia mambo ya watu ndio tatizo.

Vita vyote vinasababishwa na hayo mambo ya kuleta ujuaji mbele ya watu wengine.
 
Hakuna.Hata akina baba wanaruhusiwa kuvaa.
NB;Hivi bikini/g-string kuna sehemu imeandikwa ivaliwe na akina nani tu?
 
Unajua sababu za vurugu ni nn duniani? Usipende kuingilia maamuzi ya watu ,unaweza kuwa sawa kwako ila kuingilia mambo ya watu ndio tatizo.

Vita vyote vinasababishwa na hayo mambo ya kuleta ujuaji mbele ya watu wengine.
Mbona wewe unaingilia maamuzi ya watu ya kukosoa, kudhihaki na kuponda?
 
Samahani mkuu....
Kwani huyo Rihana ndio nani huko daslam...🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…