Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Mimba ya bahat nasibu ile,
Rihanna alushakata tamaa ya KUZAA maishan mwake.

Kuna kipind alushatumbukia Kwny madawa na kujaribu kujiua ikashindikana.

Tusimlaumu,
Ni furaha yake KASOTA SANA kupata ile mimba[emoji4]
 
Mmmh mbovuu[emoji57][emoji57]

Asap bana anajiokotea tu daaah!

Haya muuza viatu huyu, sasa si huwaga anagonga na mama ntilie huyu!

Sema Riri hana bahati na mapenzi, ukweli usemwe, kuanzia Chris brown, mwarabu, drake sasa na huyu marastaa...

Rihanna arudi kwa Drake huyu jamaa nahisi alimpenda sana Riri kuliko wengine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Rihanna alikuwa na matatizo ya uzazi?[emoji1787][emoji1787]

Huyo jamaa kajiharibia, subiri uone

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mimba ya bahat nasibu ile,
Rihanna alushakata tamaa ya KUZAA maishan mwake.

Kuna kipind alushatumbukia Kwny madawa na kujaribu kujiua ikashindikana.

Tusimlaumu,
Ni furaha yake KASOTA SANA kupata ile mimba[emoji4]
Mmmmh mkuu...

Wewe ndo nakusikia leo kuwa Rihanna alikuwa ana matatizo ya kuzaa, huyu demu mbona bangi na pombe tu muda, toka akiwa mdogo[emoji848]

Halafu hana umri mkubwa kiviile hadi kukata tamaa[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi hawaachan, hawa sasa ndo gari imewaka haizimi, ila inakua silence kwa muda tyuuuj, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] ila witty wee.
 
Dem katembea na jamaa wakt anajua kabs ni baba mtarajiwa ikitokea na kwake unashangaa anamind πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimba ya bahat nasibu ile,
Rihanna alushakata tamaa ya KUZAA maishan mwake.

Kuna kipind alushatumbukia Kwny madawa na kujaribu kujiua ikashindikana.

Tusimlaumu,
Ni furaha yake KASOTA SANA kupata ile mimba[emoji4]
Riri kupata mimba tyuuh inatoshaa.
Asap kaweka kijusi tumboni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Drake si ameoa nawee? Mie nataman arud kwa Chris breezy
 
Dem katembea na jamaa wakt anajua kabs ni baba mtarajiwa ikitokea na kwake unashangaa anamind [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
nilichojifunza hapa waafrika kw usaliti tumerithisha Hadi wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…