Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Kwa msaada wa lugha tu rock ni mwamba, hivyo Asap Rocky kwa kiswahili ni Sholo Mwamba….. ni MWAMBA kweli kweli.
 
Vipi kafuta picha mimba kasahau ingawaje nayo ilionekana katika post za Ig.
Dada ukifeli kusoma nia ya mhuni utaishia kupigwa miti tu😂😂
 
Ndugu wajumbe.
Ninapenda kuwapa taarifa ASAP na badgalRiri wameonekana wakipanda gari kimahaba baada ya kushuka kwenye ndege barbados.
 
Muhuni ni muhuni tu hawezi kubadilika katika sauti ya Polepole
 
Hii habari ni fake jana wametangaza kwenye kituo cha tv cha marekan e news
 
Hizi tetesi zitakuwa fake.
Ona hii toja yahoo news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…