Ilaumiwe CCM zaidi pia kwa kuwafanya wabongo wachanganyikiwe na wavurugane.wabongo ni watu waliochanganyikiwa, Rio alipewe mualiko na program zao maalum walizodiscuss, sasa wao walitaka akatae kwa mnasaba gani? matatizo yetu ya kisiasa yaliokuepo nchini yeye yanamhusu na nini?
wabongo tuache mentality ya kulazimisha dunia nzima ishuhulike na shida zetu.
Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani.
Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala wa aina yoyote dunia, labda sababu ya pesa na sifa.
Kagame pamoja na matatizo yake yote bado Rwanda ina mikataba mikubwa ya matangazo na klabu kubwa za Ulaya kuitangaza. Dikteta katili Teodoro Nguema wa Guinea ni kipenzi cha CAF na FIFA. Roman Abramovich rafiki mkubwa wa Putin alikuwa mmiliki wa Chelsea. Mesi na Ronaldo walienda kujikomba kwa Trump. Hakuna chombo chochote cha mpira kilichojaribu kujitenga na Israel mpaka sasa hata baada ya genocide ya Gaza.
Saudi Arabia, Qatar na UAE wamefanikiwa sana kutumia mpira kujiosha katika ulimwengu wa magharibi.
Sitashangaa hata Ronaldo au Messi wakija Tanzania kwa uratibu wa Bashite, hiyo ndio nature ya mpira ulivyo.y
Ilaumiwe CCM zaidi pia kwa kuwafanya wabongo wachanganyikiwe na wavurugane.
Wakija hao wachezaji hatutaacha kuwapiga madongo mpaka wajue kuwa umaarufu wao sio dekio la wanasiasa. Hao madiktea wote uliowasema hakuna hata mmoja aliye ua raia wake kwa kuwapiga risasi za vichwa na na kuteketeza miili yao kwenye viwanda vya saruji kuficha ushahidi kwenye maandano. Moto uliomwakia Ferdinand akirudi kwao lazima atawashauri wenzake namna bora ya kudeal na wanasisa waovu.Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani.
Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala wa aina yoyote dunia, labda sababu ya pesa na sifa.
Kagame pamoja na matatizo yake yote bado Rwanda ina mikataba mikubwa ya matangazo na klabu kubwa za Ulaya kuitangaza. Dikteta katili Teodoro Nguema wa Guinea ni kipenzi cha CAF na FIFA. Roman Abramovich rafiki mkubwa wa Putin alikuwa mmiliki wa Chelsea. Mesi na Ronaldo walienda kujikomba kwa Trump. Hakuna chombo chochote cha mpira kilichojaribu kujitenga na Israel mpaka sasa hata baada ya genocide ya Gaza.
Saudi Arabia, Qatar na UAE wamefanikiwa sana kutumia mpira kujiosha katika ulimwengu wa magharibi.
Sitashangaa hata Ronaldo au Messi wakija Tanzania kwa uratibu wa Bashite, hiyo ndio nature ya mpira ulivyo.