Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

30km - Simbu still in a leading group on 12th position. C'm on boy. You can do it. Tutoe kimasomaso
 
Simbu amekaza kinoma, baada ya 30Km yupo nafasi ya 12, nyuma tu kidogo ya kundi linaloongoza!!
Nimeanza kupata matuamini sasa!!
Nimekupa sababu hspo juu..
Safari hii wamejtahidi kwny maandalizi, haswa Simbu na Fabian Joseph
 
Mambo yameshaanza kuwa magumu hapa, battle ipo kwa Wahabeshi, Mkenya na Mmarekani, japokuwa bado kama 10KM, gap linaongezeka kadri muda unavyoenda.
 
Mambo yameshaanza kuwa magumu hapa, battle ipo kwa Wahabeshi, Mkenya na Mmarekani, japokuwa bado kama 10KM, gap linaongezeka kadri muda unavyoenda.

Muhabesh mmoja ashakata tamaa, kwahiyo mmareka lazima achukue medali.
 
Miji ya wenzetu imepangwa vizur..huku kwetu miji yetu ilivyo inaakisi akili za viongoz wetu
 
Huyo mkenya atachukua gold bado ana nguvu nyingi za kukimbia
 
6km to go. Huyu mmarekani still anging there. Akipitwa pale atalia
Atachoka sana kwa kweli, kuna Mhabeshi amefunguka yupo kundi la nyuma, amekaza kinoma akiendelea hivyo hivyo anaweza akamkuta!!
 
Back
Top Bottom