Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii wamejtahidi kwny maandalizi, haswa Simbu na Fabian JosephNimekupa sababu hspo juu..
Mambo yameshaanza kuwa magumu hapa, battle ipo kwa Wahabeshi, Mkenya na Mmarekani, japokuwa bado kama 10KM, gap linaongezeka kadri muda unavyoenda.
Anayo nafasi ya kufanya vizur zaidKm 35
- Simbu 9 .... 1.40 behind leading group
Muhabesh mmoja ashakata tamaa, kwahiyo mmareka lazima achukue medali.
Huyu Mkenya amefunguka hatari, kumkamata hapa ni vigumu mno, itahitaji nguvu kubwa sana.Muhabesh mmoja ashakata tamaa, kwahiyo mmareka lazima achukue medali.
Ana spid ile ileHuyo mkenya atachukua gold bado ana nguvu nyingi za kukimbia
Atachoka sana kwa kweli, kuna Mhabeshi amefunguka yupo kundi la nyuma, amekaza kinoma akiendelea hivyo hivyo anaweza akamkuta!!6km to go. Huyu mmarekani still anging there. Akipitwa pale atalia
Akomae amtoe mmarekan pale namba 3Simbu akaze ..nafasi ya 5 sasa km 40