Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USA wanawachezaji (553) wengi kuliko nchi yeyote ile.Natabiri team USA ndo wataibuka kidedea kwenye medal count.
Watch this space.
Kwanza sioni hata sababu ya kuendelea na basketball, kwa mfano.
Wangezigawa tu hizo medali za dhahabu kwa USA na kuwaacha wengine wakishindania za fedha na shaba.
Inaashiria pia kuwa wako serious sana na hii sector na wanajua maana ya kuwa super power.USA wanawachezaji (553) wengi kuliko nchi yeyote ile.
Kwa hiyo itashangaza kama hawata chukua medal nyingi kuliko nchi
nyingine yeyote.
Natabiri team USA ndo wataibuka kidedea kwenye medal count.
Watch this space.
Kwanza sioni hata sababu ya kuendelea na basketball, kwa mfano.
Wangezigawa tu hizo medali za dhahabu kwa USA na kuwaacha wengine wakishindania za fedha na shaba.
Mpaka sasa medali kwa ujumlaTeam UK ndio watavuna medals kuliko wote wakifuatiwa na China
China baby