Huyo delilah umeulizwa ni nywele zake? Hayo ya medali hayatuhusu😀😀😀😀
Kashinda medali ya dhahabu na hilo ndo la maana zaidi.
Hatupo saluni hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo delilah umeulizwa ni nywele zake? Hayo ya medali hayatuhusu😀😀😀😀
Kashinda medali ya dhahabu na hilo ndo la maana zaidi.
Hatupo saluni hapa.
Wangetuwekea na mchezo wa bao tungepata medali wallahiDuh!
Hii yako ni kali!
Huyo delilah umeulizwa ni nywele zake? Hayo ya medali hayatuhusu
seems siasa bado zinawabeba wamarekani, nimejaribu kuangalia medali zote na medali za kuogelea hapa
msimamo wa medali
![]()
msimamo wa medali za kuogelea
![]()
hivyo ukiangalia hapo medali 16 kati ya 30 za dhahabu za marekani zimetokana na kuogelea, hio ni zaidi ya asilimia 50. ukitoa medali za kuogelea wote china na uingereza wapo juu ya marekani kwenye michezo mingine.
pia ukichunguza michezo ya kuogelea historia yake ni toka kipindi cha cold war, iliekwa mingi ili marekani ampite urusi, kuna events nyingi sana za kuogelea, mfano hizi ni events za mita 100 kuogelea
-breaststroke
-backstroke
-freestyle
-freestyle relay
-medley relay
-butterfly
events hizo hizo utazikuta mita 50, 200, 400 na kuendelea kwa wanawake na wanaume.
michezo ambayo marekani si sana kupata medali nyingi hukuti events nyingi, mfano kukimbia. kama sijakosea kumbia kupo kwa kawaida, kupokezana vijiti na kuruka viunzi. inabidi na sisi Africa tupige kelele ili tuekewe michezo yetu tunayoiweza kama kukimbia na mguu mmoja, mbio za kuvaa magunia, mbio za kueka yai juu ya kijiko na kukimbia hali ya kuwa kijiko kipo mdomoni etc.
Wangetuwekea na mchezo wa bao tungepata medali wallahi
USA bags another gold!
Delilah Muhammad.
The USA has 100 medals!
Bro, ni so funny vile unavyoji-feel mmarekani hapa JF. Ha ha ha...
hiloHuyu Delilah zile ni nywele zake ama ni wig?
hilo sio wigi ni weaving, wig linavaliwa tu kama kofia ila weaving unashonea ktk nywele zako.Huyu Delilah zile ni nywele zake ama ni wig?
Naona wamekata rufaa. ... ikapita na hatimaye wakashinda.....Usa baby inakuwaje palee wamekuwa disqualified wananyang'anywa bronze
Tori Bowie atasumbua wenzake sana huko baadae, anaonekana ni mwepesi sana, English anakuja kuja sema bado hajafikia level ya medal, aendelee kujifua zaid btw nimekapenda sana!! Tianna yupo vizur kweny Long jump, pia sio mbaya kwny track.