Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Hivi jamani wanatakiwa kukimbia Km ngapi? Samahani nauliza tu.
 
Nadhani hakutakuwa na mabadiliko bado mita 200 tu
 
Simbu amejitahid sana kwa kweli, kama ka experience ndio kamemtoa mchezoni, hope amejifunza kitu!! Kwa nafasi aliyoshika Leo ni kwamba amevunja record ya Mzee wetu Juma Ikangaa.
So atakuwa ni Mtanzania wa kwanza kuwa wa 5 kwenye Marathon!! sio mbaya ni kwanza 24yrs old.
 
Hongera sana Simbu. ..

FB_IMG_1471791054285.jpg
 
Jamani nauliza tena. Hivi nje ya zile medals, kuna fedha nyingine shirikisho linampa mshindi au ni medal tu. Naombeni mnisaidie.
 
Nafasi za Watanzania wengine. ..
  • Said Makula - 46
  • Fabiano Joseph - 133
 
Jamani nauliza tena. Hivi nje ya zile medals, kuna fedha nyingine shirikisho linampa mshindi au ni medal tu. Naombeni mnisaidie.
Shirikisho halitoI zawadi ya pesa kwa washindi, bali nchi husika hutoa fedha kwa walioishindia nchi yao.

Kwa mfano USA hutoa Dola 25,000 kwa mshindi wa medali ya dhahabu. .. Nchi za Asia ndio zenye zawadi kubwa za fedha, huku nchi kama Uingereza wakimbiaji wake hawapati chochote.
 
hahah! commentator kasema kuna haja ya western athletes kujifunza kwa huyo mmarekani. if the east Africans can do it hata wao wanaweza. kumbe inawauma sana!
Wamarekani safar hii wamejtahidi sana kwenye mbio ndefu, wanakuja speed sana, kuna haja na sisi waafrica tukaze zaidi!! hawa watu hawachelewi kuja kutupita!!
 
Wamarekani safar hii wamejtahidi sana kwenye mbio ndefu, wanakuja speed sana, kuna haja na sisi waafrica tukaze zaidi!! hawa watu hawachelewi kuja kutupita!!

Nimeona wengine wamehamia kutoka East Africa pia. No wonder next Olympic games tukawaona wakina Kipchoge kama kumi wote wanawakilisha mataifa mengine.
 
Nimeona wengine wamehamia kutoka East Africa pia. No wonder next Olympic games tukawaona wakina Kipchoge kama kumi wote wanawakilisha mataifa mengine.
Ni kweli Mkuu, Waethiopia na Wakenya wengi wamehamia Bahran na Uturuki, pia kuna Wakenya wamehamia USA, ninahisi wanaangalia maisha bora na kupata nafasi ya kwenda kwenye mashindano sababu nchini kwao ushindani ni mkubwa. Kwa Wakenya waliohamia USA, Chelimo ndio amechukua Silver medal jana, ila wengine walizingua. Tutegemee kuwaona wanawakilisha nchi nyingine kama tu wakikosa nafasi nchini mwao.
 
Shirikisho halitoI zawadi ya pesa kwa washindi, bali nchi husika hutoa fedha kwa walioishindia nchi yao.

Kwa mfano USA hutoa Dola 25,000 kwa mshindi wa medali ya dhahabu. .. Nchi za Asia ndio zenye zawadi kubwa za fedha, huku nchi kama Uingereza wakimbiaji wake hawapati chochote.
Asante kiongozi
 
Back
Top Bottom