Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jamani wanatakiwa kukimbia Km ngapi? Samahani nauliza tu.
Km 42Hivi jamani wanatakiwa kukimbia Km ngapi? Samahani nauliza tu.
Huyu Mmarekani na yeye amekaza kinoma,
Shirikisho halitoI zawadi ya pesa kwa washindi, bali nchi husika hutoa fedha kwa walioishindia nchi yao.Jamani nauliza tena. Hivi nje ya zile medals, kuna fedha nyingine shirikisho linampa mshindi au ni medal tu. Naombeni mnisaidie.
Wamarekani safar hii wamejtahidi sana kwenye mbio ndefu, wanakuja speed sana, kuna haja na sisi waafrica tukaze zaidi!! hawa watu hawachelewi kuja kutupita!!hahah! commentator kasema kuna haja ya western athletes kujifunza kwa huyo mmarekani. if the east Africans can do it hata wao wanaweza. kumbe inawauma sana!
Wamarekani safar hii wamejtahidi sana kwenye mbio ndefu, wanakuja speed sana, kuna haja na sisi waafrica tukaze zaidi!! hawa watu hawachelewi kuja kutupita!!
Ni kweli Mkuu, Waethiopia na Wakenya wengi wamehamia Bahran na Uturuki, pia kuna Wakenya wamehamia USA, ninahisi wanaangalia maisha bora na kupata nafasi ya kwenda kwenye mashindano sababu nchini kwao ushindani ni mkubwa. Kwa Wakenya waliohamia USA, Chelimo ndio amechukua Silver medal jana, ila wengine walizingua. Tutegemee kuwaona wanawakilisha nchi nyingine kama tu wakikosa nafasi nchini mwao.Nimeona wengine wamehamia kutoka East Africa pia. No wonder next Olympic games tukawaona wakina Kipchoge kama kumi wote wanawakilisha mataifa mengine.
Asante kiongoziShirikisho halitoI zawadi ya pesa kwa washindi, bali nchi husika hutoa fedha kwa walioishindia nchi yao.
Kwa mfano USA hutoa Dola 25,000 kwa mshindi wa medali ya dhahabu. .. Nchi za Asia ndio zenye zawadi kubwa za fedha, huku nchi kama Uingereza wakimbiaji wake hawapati chochote.