Rio Paul Afanya maajabu UN

Rio Paul Afanya maajabu UN

Nina mashaka na huyu mwarabu.... mbona kila mwenye skendo ya ushoga unakuta keshapiga nae picha......

Anawabamiza au ndo waarabu wa pemba wanajuana kwa vireemba.... simuelew huyu msee....
 
Hamna wasomi wa kuiwakilisha nchi huko UN? Mbona anataka kuiaibisha nchi au mkutano unahusu mashoga?
 
1487395917959.jpg

Haka kapicha kalinipa ukakasi,
 
Ni ujinga uliopitiliza kuleta post hapa JF, inayoshabikia ushoga. Hii ni aibu
 
Na huyu ndiyo katoa taswira ya vijana wa Tanzania kwa kuwawakilisha huko ugaibuni.
 
Mtoa post hana lolote zaidi ya kushabikia mambo ya ushoga tu.
 
Back
Top Bottom