Rio Paul

peterchoka
What we mean by sexual orientation and gender identity

Sexual orientation is the way you identify yourself – through desires, feelings and sexual activity, whether that’s towards people of the same sex or opposite sex from you. Gender identity is rooted less in physical identity, and refers to the way you identify with and express yourself in masculine and/or feminine notions of identity.

When talking about issues of sexual identity we often use the term LGBTI: lesbian, gay, bisexual, transgender and intersex. But we acknowledge that individuals may define their sexual identity in ways not limited to just these terms – and terms to describe sexual orientation and gender identity vary widely from culture to culture.

LGBTI rights are human rights, protected by international law
"We should all speak out when someone is arrested or imprisoned because of who they love or how they look. This is one of the great neglected human rights challenges of our time." UN Secretary-General Ban Ki-moon, April 2013
 
About this collection
In 1967, homosexuality was partially decriminalised in England and Wales. Since then, terms like 'clause 28', 'the age of consent' and 'civil partnerships' have become part of the political language in the fight for gay rights.
In this collection, we chart the story so far for gay and lesbian equality in the UK. Many of the programmes reflect the language common at the time when they were first broadcast and illustrate the changing attitudes towards homosexuality in the last 50 years.

Wenzetu walijidanganya kama tunavyojidanganya sasa hivi lakini miaka 50 iliyopita wamekubali kuwa hawa watu wana haki sawa na wengine wote.
 
Hata km ni nature ya kazi. Utacheka kazin lkn mbele ya safari utakereka. Hii tabia sio nzuri na ni kwel wanawake wanapenda sana kukaa na mashoga. Kuwa entertain ndo kunafanya idadi yao iongezeke kadri siku zinavyoenda. Mungy kakuumba mwanaume hlf unakua mwanamke hlf unasema wana haki. Haki gani?? Kwakwel mm cwapend hawa wa2 kwanza ndo wanafanya m2 uogope kuzaa mtoto wa kiume.
 
Kwa nature ya kazi yangu, nikiwabagua hawa viumbe nimekosa kibarua.
Dada mkubwa hiki unachoongea sio sawa hata kama kinakuingizia kipato, usiongee tu kwakua unapata hela hebu vaa viatu waza ni mtoto wako hiyo hela unaifurahia nini wakati mtoto wako ameharibiwa? Hiyo hela ina thamani kumzidi mwanao?
Anyway kwa story zako hapa jf it seems bado hujapata mtoto siku ukipata afu wa kiume sidhani kama utaongea kama unavoongea leo
Kuna madaktari wameacha kazi kwasababu kazi waliopewa ni kugawa vilainishi kwa mashoga na wanalipwa mkwanja mrefu ila wameacha hawawezi kama ni mtu usiependa huu uchafu sio swala la kujitetea wala kwamba ndo kibarua fine ni kibarua ila huna chembe ya kuona unachoongea hakifai..... Waone tu hivo ila asiwe ndugu yako INAUMIZA
 
May be kwakua ni wa watu hawamhusu, au anapata kipato hiyo anaona sawa
Equality and Diversity is the current term used for 'Equal Opportunities'. It is the legal obligation to protect against discrimination. Discrimination can be against a person's sex, gender, disability, sexual orientation, religion, belief, race or age.
 
Tetea mie nakuombea upate kidume afu uendelee na hizi Sera
 
Wewe kwenu akitokea mtu anatabia za kishoga utafanyaje?
 
Hii dunia ina watu zaidi ya Bilioni saba na wanaomuabudu huyo mungu wako sio wote.....sasa usitake kila mtu afikiri na kutenda kama wewe na dini yako.....

Watu walishaachaga kufata hayo ma brainwash kitambo sana, na kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo....Guess sisi binadamu tungepewa uwezo huo wa kimungu ambao mmeaminishwa yupo na anao ingekuwaje?!, si mngechinja kila mtu kama wale wapuuzi wa mashariki ya kati.

Msome Ban Ki Mon hapo juu.
 
Sikufundishwa kuwa mbaguzi kutoka dini, rangi, kabila, sura after roll who is perfect?
Ni after all but ina be pronounced like afteroll

synonyms: above all, most important, most importantly, beyond everything, ultimately;

informalwhen all is said and done, at the end of the day, when push comes to shove

"I couldn't stay mad—after all, we're best friends"
 
Pole sana dada naona mwanamke mwenzako kaamua kujitoa ufahamu ili ajilie hela haramu ! Hivi vitu vinaumiza sana yaskie kwa jirani mwombe Mungu yasikukute!!
 
Ila hana mtoto na hajaolewa. Kwa sasa yupo masomoni UK yanayohusu unesi. Kama atakuwa na la kuongezea ataongeza hasa jinsi anavyomegwa na Daktari ambaye ni Mwalimu wake kutoka Ghana
Hii yatosha sana yeye kusema gays ni watu wazuri, delicate, wanaumizwa and they are there for you ukiwahitaji, ila mama ake na Rio hapo anaona Dunia inamzomea anatamani apotee kwenye hii Dunia
 
Hii yatosha sana yeye kusema gays ni watu wazuri, delicate, wanaumizwa and they are there for you ukiwahitaji, ila mama ake na Rio hapo anaona Dunia inamzomea anatamani apotee kwenye hii Dunia
Asante.
 
Wewe kwenu akitokea mtu anatabia za kishoga utafanyaje?
Hakuna njia zaidi ya kumrudisha kwenye njia ya kumpwekesha na kumuhofia Mwenyezi Mungu, akishampwekesha na kumhofia Mwenyezi Mungu then ndo zitafuata hatua nyingine za kitabibu kama kumsafisha sehemu yake ya siri na kumpa ushauri wa kisaikolojia, pia kumuepusha na marafiki aliokuwa nao awali na na life style aliyokuwa nayo. Mimi nimeshakutana na dada mmoja ambaye mdogo wake alikuwa na hizo tabia, alikuta picha za uume na picha za wanaume wakifanya ngono kwenye simu yake, baada ya kumuhoji alikiri kufanya huo mchezo na alituelezea kwamba aliuanza baada ya kuingiliwa na mume wa mamayake mdogo aliyekuwa akiishi nae wakati akiwa bado mdogo, yule mwanaume alimuahidi vitu mbali mbali pamoja na kumpa pesa, sasa baada ya kukua akashindwa kuacha kwa kuwa mwanume anapoingiliwa huko nyuma ambako hapakuumbwa kupokea shahawa za mwanume basi hupelekea vijidudu vilivyoko kwenye shahawa ambavyo vikiingia kwenye uke wa mwanamke huwa havileti madhara kutokana na maumbile yako specific kwa ajili hiyo ila kwa mwanaume vile vijidudu hula yale manii na yakiisha huanza kutafuna ngozi ya sehemu ya siri ya huyo mwanaume ambayo imeumbwa ni laini, hiyo hupelekea yule mwanaume kupata muwasho na njia pekee ni kuingiliwa tena ili yale manii yakiingia ndio yawe chakula cha hao bacteria tena. Yule dada aliuumia sana kisaikolojia Kwani alikuta mpaka ujumbe mdogo wake akiwasiliana na wanaume na kutangaza biashara "nauza mku...", mwanzo ilikuwa ni siri yake ya peke yake na alihangaika sana mpaka kwa wanasaikolojia lakini hakufanikiwa mpaka ilipogundulika kwa familia.Tulitumia approach hiyo hapo juu na ilimsaidia sana mdogo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…