Rio Paul

Kinachonisikitisha katika maisha ya hawa gay people ni kuwa wako vulnerable to STD's, lakini ni watu ambao wanakwenda shule, wanafanya kazi na wanaleta mchango wa kiuchumi katika jamii. Wengi wao siku hizi wanaruhusiwa ku adopt watoto, kuzaa kupitia surrogate mothers.
 
Dada maisha sio kuleta pesa pekee katika familia. Maisha ni pamoja na kuendana na taratibu za jamii na mafundisho mazuri ya wale waliotutangulia.

Wewe dada unatakiwa ubadili mtazamo. Hivi unayoyaongea haya unaweza kuyasema mbele ya familia yako? Acha ujinga ukiona watu wanakupinga usijifanye mjanja heshimu taratibu za jamii ya Kitanzania.

Haya yaongelee kwenye mitandao ya walio na utaratibu wa mambo hayo.

Hapa kwenye mtandao kuna kila aina ya watu wanapita. Kuna watoto, wazee, ndugu na jamaa.

Jifunze kuheshimu taratibu za jamii zetu. Mambo yenu haya yaishie huko huko.
Na usipende kudhalilisha wanaume. Hapa unatudhalilisha wanaume wote.

Nakusihi jiheshimu. Nimesikia upo na umri wa miaka zaidi ya 40. Wewe umeshaanza kuwa mtu mzima.
 
Unaweza kujitetea kwa vyote unavyo fanya ila ni jambo lilio wazi kuwa wewe una promote ushoga na hilo tuu halikupi sifa njema yyte

Pamoja na kuwa watu wana uhuru wao msilazimishe tuone mtoto akikuwa shoga kachagua njia sahihi

Acheni ku promote na kuwapa matangazo ya nguvu bhana
 
Kama wapo na jamii haiwakubali nini mustakabali mzima wa kuwepo kwao?
Dada yangu kama unakutana nao wahubiri injili kwa upendo waende kwa watumishi wa Mungu watubu. Watabadilika.

Ungekuwa unauliza hivi ingekuwa vizuri. Sio kusifia. hii jamii ya Tanzania sasa. Sio ulaya hapa. Sisi tunataratibu zetu. Hawa wazungu wenyewe wametutangulia miaka 1000. Kwahiyo hatuwezi kwenda nao sisi.

Wacha sisi twende mdogo mdogo.
Wapeleke kwa washauri na washauri taratibu.
 
Use ur brain sky eclat japo hata kiduchu. Hujiulizi kwa nini hao mashoga wapo hatarini zaidi kupata STDs/STIs!!??

Do you think Mwenyezi Mungu alikuwa kichaa kuumba ''mlango wa uwani'' kuwa vijidudu vingi,tena ambavyo ni hatari kweli kweli kwa afya ya mwanadamu endapo vita hamana na kwenda sehemu nyingine ya mwili!!. Alijua fika kuwa kuna washenzi, (wakiwemo na wale wanaowasapoti) watakaotaka kuutumia huo mlango ndivyo sivyo kinyume na mapenzi yake.

Na unaposema kuwa eti ni watu walioenda shule, huko shule walienda kufanya nini ikiwa hata hawawezi kuelewa jambo dogo linalohusu afya zao kama hilo!!?.

BTW, nimekuja kuelewa kuwa hata wewe mwenyewe elimu uliyonayo haijakusaidia chochote. Huna tofauti na hao mashoga.
 
Kama wapo na jamii haiwakubali nini mustakabali mzima wa kuwepo kwao?
Sasa wewe usiwe msemaji wao mengine wata sort out wenyewe
Huna haja ya kulazimisha jamii hii isikie stori zao kila wakati
Unless wewe ni mliberali unaye taka kuendeleza na kupandikiza zaid idea hzo kwenye jamii yetu

Maana sasa unawasemea kuliko wajisemeavo wenyewe
 
Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.

duh
 
Tetea mie nakuombea upate kidume afu uendelee na hizi Sera
Mkuu mimi huwa nashangaa sana yani,tatizo letu watu wengi hizi tunazoziita shule na maarifa tuliyoyapata toka nchi za kigeni tunaona ni bora kuliko misingi ya utu wetu.

Leo hii mtu anatetea based on kigezo cha equality and the likes. Kisa wazungu na wengine wanakubali basi na sisi tunafungwa mawazo na upeo wetu tukiamini kuwa kuyakubalo mambo haya ndiyo usasa.

Hivi kweli kabisa akipata mtoto wa kiume na akawa katika hali hiyo atajiskiaje?. Ni "msomi" labda kwa uelewa wake, lakini pia tumepewa utashi na hekima ya kujua jema na baya. Imefika mahali watu tunashindwa kukemea mabaya kwa vigezo vya haki za binadamu. Aliye umba mtu mume na mtu mke nini lilikuwa kusudi?.

Nadhani ifike mahali tuyaone haya. Ili uikemee na kuiacha dhambi yoyote kutoka moyoni ni lazima uichukie. Mungu atupe busara na utashi wa kuenenda.
 
Ukiwa na rafiki gay ni watu wazuri sana, sio selfish, he will be there for you 24/7, he will share with you all his up and downs. Pia wengi wao wako delicate sana wakiumizwa. Being hurt for them is so painful.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ptuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…