Rio Paul

Kwa hiyo hoja yako sasa ni nini?
 

Hahahaaaaaa pole sana mkuu anataka kukuharibia swaumu huyo.
 
Na sie weusi tukipata chance sasa ya kusoma na kukaa Na wazungu tunaiga uzungu hata wazungu wenyewe hawaoni ndani
 
Na thong pia. Tena ukimwambia unaumwa tumbo la period, atakwenda kutafuta paracetamol, atakutafutia hot water bottle, atatengeneza chai ya rangi. Wakati nyinyi mkiambiwa tumbo la period mnakwenda kuangalia mpira.

Hya bas tafuta mmja uishi nae n mzae watoto
 
Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.
 
Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.
Yap, nakubaliana na wewe.. humu wanafiki ni wengi sana tena wanatia aibu..

Utawakuta kule jukwaa la picha za uchi wakisifia tigo halafu wanakuja huku wanaandika unafiki.. wengine wameoa full michepuko... wengine hawana ndoa ila waasherati balaa..

Hizi dhambi zote zimekuwa included kwenye group moja.. "sexual immorality"

Kama hufanyi dhambi hii usifanye na ile.. na kama unaifanya ile usihukumu basi....

Tutoe maboriti katika macho yetu.. then tuhangaike na vibanza kwenye macho ya wengine.
 
Kama hataki kuacha?
 
sijui kwanini wanawake mnawapenda sana hao watu
Wao ndo wanawatenga wanaume wanafwata wanawake kuna kipindi nilifanya kazi bagamoyo kuuna choki lilikuwa linatufwata linafanya shuguli zote za wanawake ikiwepo mkienda bar linaingia choo cha kike roho ilikuwa yaniuma yaani bonge la handsome la kisukuma[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji36] [emoji37]
 
Luna really gay na fake or what d u mean[emoji15]
fake gays si wale wanaonekana wanatabia za kigay lakini sio magay ni bahati mbaya tu tabia zimewapitia na wenyewe wakazikubali,afu kuna wengine wanapenda wenyewe kuwa hivyo na wapo tayari kujionyesha dhahiri jinsi walivyo....sasa huyo jamaa yupo upande gani?ni tabia tu zimempitia kwa bahati mbaya lakini hapractice hizo mishe au anapenda kuwa "nigga the bitch"
 
13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao. Walawi 20:13
 
Serikali Yatoa Msimamo Wake Kuhusu Mapenzi ya Jinsi Moja ya Mashoga na Wasagaji



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Amon Mpanju amesema kuwa mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na Serikali ilishaweka msimamo wake katika hilo.

Akizungumza mapema leo katika mkutano wa wadau wa haki za binadamu uliofanyika katika hoteli ya Blue Pearl wa kujadili mapendekezo ya tathmini ya utekelezaji wa masuala ya haki za binadamu (Universal Periodic Review), Mhe. Mpanju ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo alisema mapendekezo yaliyowasilishwa Mwezi Mei mwaka huu katika mkutano wa Baraza la haki za binadamu uliofanyika Geneva, serikali ilikubali mapendekezo Mia thelathini (130) na mengine 72 iliyakataa.

“Sehemu ya mapendekezo hayo serikali iliyakataa kwa sababu kuna mengine yapo kinyume na katiba, sheria, mila na desturi zetu, kwani katika mapendekezo hayo yapo yanayotaka mapenzi ya jinsia moja jambo ambalo haliwezi kukubalika”, Mhe. Mpanju alisema

“Hivyo wakati mkijadili namna ya kupanga mikakati ya utekelezaji ili serikali ione umuhimu wa kukubali sehemu ya mapendekezo hayo naomba msijielekeze kwenye yale yaliyo kinyume na imani”, Mhe. Mpanju alisisitiza

Aidha, Mhe. Naibu Katibu huyo alisema serikali imefungua milango kwa kushirikiano na tume, wadau wa haki za binadamu wapeleke serikalini sababu zenye mantiki ili kuona ni mambo gani ambayo serikali inaweza kuyashugulikia na kuyatekeleza.

Akizungumza katika Mkutano huo, Bwana Onesmo Olengurumwa kutoka taasisi ya watetezi wa haki za binadamu (THRDC) alisema kuwa wadau wamekutana katika mkutano huo kujadili ni kwa namna gani wataishawishi serikali ili iweze kuyakubali mapendekezo yaliyobakia na kuyaweka katika utekelezaji.

Akifungua mkutano huo kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Iddi Mapuri alisema kuwa mkutano huo umelenga katika kuweka mikakati ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo hayo na alipongeza mchango mkubwa unaotolewa na wadau wa haki za binadamu katika kuhakikisha masuala ya haki za binadamu yanapata msukumo mkubwa hapa nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…