Rio Paul

Hivi Dada utajisikia vipi endapo mwanao kijana wako wa pekee ni shoga?
 
Kuandika kiingereza hakukufanyi uonekana unaandika Kitu sahihi. Kuna Dada humu anaitwa faiza Fox anawaambiaga hizo shule mnaenda kusomea ujinga?
 
Sisi kwa unafiki hatujambo. Watu wanawaponda gays wakati wanawageuza wake zao.
Ndo maana hatuendelei, tunataka huku wakati tunasema hivi, wapi na wapi.
Wote mashoga.hata wewe unayemgeuza mkeo utafiti unaonesha nawewe unageuzwa. Tupige vita tabia za kishoga
 
Hao wanaosifia kugeuzana kama wanafanya hivyo nao hawana tofauti na mashoga.wote tuwakatae ushoga haukubaliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…