Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Mods naomba msifute uzi huu, sina maana ya kuchochea wala kukosoa bali kuonyesha kusikitishwa na matukio ya kupotea, kutekwa na kuuwawa kwa baadhi ya Watanzania huku baadhi yao tukiwa hatujui wako wapi hadi sasa.
Tunawaombea wale wote waliotangulia, na ambao wapo mahali labda wametekwa (hatujui)
Lengo lake uzi huu ni kuonyesha kuwa tunathamini juhudi zao na mungu atawalipa kwa kile walichokifanya, aidha tunamuomba mungu atimize ndoto zao, ili yale waliyotamani kuyaona basi yatokee Inshallah!
Hakuna hisia, uchama wala udini, only logic applied. Kufutwa kwa uzi huu itakuwa ni kuonyesha namna gani JF haina uhuru kama ule wa zamani.
1. Ali kibao
2. Mdude
3. Soka
4. TAL
Niongezeeni wengine!