Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwamba na yeye alitikisa kwenye misiba ya watu ?Yeye aliishi vipi na watu?
Wabongo ni zaidi ya vile uwajuavyo.Kuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
Wajinga sana !Wabongo ni zaidi ya vile uwajuavyo.
Na ni wapungufu chini ya heshima yoyote ile unayoweza ukawapa.
Bora wewe umeliona hilo.View attachment 2971055View attachment 2971056
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa , Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club , Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu , yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito .
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya ?
Ni ushamba Mtupu !
Binti mmoja wa pekee! KarenMliokuwepo anawatoto ngap
GT Malala kwenye kifo/msiba wanaoumia na kuhuzunika kiukweli ni ndugu wa karibu sana wa marehemu hasa nuclear family. Wengine hao ni show offs na kuonekana ili kuondoa lawama ili msiba ukiwatokea wasitengwe.View attachment 2971055View attachment 2971056
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa , Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club , Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu , yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito .
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya ?
Ni ushamba Mtupu !
NdioDada jide alikuwepo?
AiseeKuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.