RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Kama unasikia basi usifanye hitimisho wakati mwingine maneno kama hayo huletwa na watu wanaotaka kupata uhalali wa vitu flani
 
Kuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
Wewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!

Mimi chakula hakipandi, mama, dada, mashoga full selfie! Mara kamera yako mbovu!

Ile siku ndiyo niligundua mwanamke hapaswi kupewa uhuru! Yaani anatakiwa aongozwe kwani kujiongoza hawawezi na hata akiongoza atatumia zaidi hisia kuliko akili!
 
Inasikitisha
 
Nd
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.

Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya?

Ni ushamba Mtupu!

View attachment 2971055View attachment 2971056
Ndio maana mbele watu msiba wa mtu maarufu wanafanya very private
 
Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Umesikia wapi? Huyo huyo unayedai alikataa kumpelekea baba yake chakula ndio binti yake pekee aliyejaliwa ambaye alikuwa anampenda sana
 
Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Yeye ndio hata kutajwa hatajwi. Sijui baada ya utambulisho ule walipotezana!!
 
Kanichekesha mmakonde alivyoingia na kanzu lake na joho kama kaarikwa futar ikulu ..yan na ma bodyguards 7 sojui 8 wale 😄😄 yupo kwenye gari anasubiri camera ziwe nyingi ashuke 😄😄😄 kuna time uwa namkubari sana kibakuli kwenye mambo ya misiba yan anakuwaga simple sana unaweza usijue kama ni yeye nishakutana nae kwenye misiba kama miwili iv yeye na AY na Fa yan wanvyo shiriki unaweza sema uyu sio Kibakuli
 
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.

Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya?

Ni ushamba Mtupu!

View attachment 2971055View attachment 2971056
MWACHEN KAKA WETU APUMZIE JAMAN KHA HATA AJAZIKWAA
 
Wewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!

Mimi chakula hakipandi, mama, dada, mashoga full selfie! Mara kamera yako mbovu!

Ile siku ndiyo niligundua mwanamke hapaswi kupewa uhuru! Yaani anatakiwa aongozwe kwani kujiongoza hawawezi na hata akiongoza atatumia zaidi hisia kuliko akili!
Mi ndo maana kuvaaga masare kwenye msiba naonaga noma. Trend za duniani zinatutoa sana kwenye reli kiasi kwamba tunakuwa kituko mbele ya jamii.
 
Mi ndo maana kuvaaga masare kwenye msiba naonaga noma.
Hiki kitu ndiyo kiliwafanya mama, dada na mashosti zake kuwa bize sana siku ya msiba wa mzee wangu! Wanawaza watatokelezea vipi??

Ohh hapo vipi nimependeza?? Rangi mbaya, make up imekaa vibaya, tutafute zinazo match! Wanawake bwana! Hapa waislamu walicheza kama pele!

Tayari team ya Clouds Sweetheart imeshafika wilaya ya Rombo kijiji cha Kikelelwa kata ya Tarak...jpg
 
Back
Top Bottom