Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kwanini mwanamke aongozwe? Ana mapungufu yapi kimaumbile mpaka ahitaji muongozo wa mwanaume?Hoja ya msingi ya mdau ni kuwa, mwanamke awe smart au la, anatakiwa kuongozwa, anatakiwa kusimamiwa.
Unaweza sema sasa mwanamke smart ataongizwaje na mwanaume mbulula?? Jibu ni kuwa - kama mwanamke ni smart bila shaka atachagua kuolewa na smarter, sasa hapo huyo smarter itatakiwe amsimamie na kumuongoza huyu smart. Lazima waongozwe