Kama unasikia basi usifanye hitimisho wakati mwingine maneno kama hayo huletwa na watu wanaotaka kupata uhalali wa vitu flaniNasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Mmeanza! Watanzania katika ubora wenu!Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
ππππNasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Wewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!Kuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
InasikitishaWewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!
Mimi chakula hakipandi, mama, dada, mashoga full selfie! Mara kamera yako mbovu!
Ile siku ndiyo niligundua mwanamke hapaswi kupewa uhuru! Yaani anatakiwa aongozwe kwani kujiongoza hawawezi na hata akiongoza atatumia zaidi hisia kuliko akili!
Huyo kama siyo Steve Nyerere basi Naukweka mubashara.Kuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
Ndio maana mbele watu msiba wa mtu maarufu wanafanya very privateNimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya?
Ni ushamba Mtupu!
View attachment 2971055View attachment 2971056
Umesikia wapi? Huyo huyo unayedai alikataa kumpelekea baba yake chakula ndio binti yake pekee aliyejaliwa ambaye alikuwa anampenda sanaNasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Waongo hao km kawaida yaoNasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Yeye ndio hata kutajwa hatajwi. Sijui baada ya utambulisho ule walipotezana!!Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Uongo wa kibongo unaanzaga na neno nackiaNasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
MWACHEN KAKA WETU APUMZIE JAMAN KHA HATA AJAZIKWAANimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua Msibani ! mliona wapi mambo haya?
Ni ushamba Mtupu!
View attachment 2971055View attachment 2971056
Nani huyo ? Au hajuh na yeye sikumoja watu wataacha shughuli zaoKuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
Mi ndo maana kuvaaga masare kwenye msiba naonaga noma. Trend za duniani zinatutoa sana kwenye reli kiasi kwamba tunakuwa kituko mbele ya jamii.Wewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!
Mimi chakula hakipandi, mama, dada, mashoga full selfie! Mara kamera yako mbovu!
Ile siku ndiyo niligundua mwanamke hapaswi kupewa uhuru! Yaani anatakiwa aongozwe kwani kujiongoza hawawezi na hata akiongoza atatumia zaidi hisia kuliko akili!
Hiki kitu ndiyo kiliwafanya mama, dada na mashosti zake kuwa bize sana siku ya msiba wa mzee wangu! Wanawaza watatokelezea vipi??Mi ndo maana kuvaaga masare kwenye msiba naonaga noma.