Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
ππππHiki kitu ndiyo kiliwafanya mama, dada na mashosti zake kuwa bize sana siku ya msiba wa mzee wangu! Wanawaza watatokelezea vipi??
Ohh hapo vipi nimependeza?? Rangi mbaya, make up imekaa vibaya, tutafute zinazo match! Wanawake bwana! Hapa waislamu walicheza kama pele!
View attachment 2971598
Sio maarufu TU, kikawaida msiba ni WA watu wa karibu sana na aliyefariki. Sio kama KiTanzania, msiba mtu yeyote TU anakuja kadiri anavyojisikia na haulizwi kitu na mtu. Hapo usiwasahau wale wanaokuja ili kugonga chai, chakula cha mchana mpaka cha usiku kwenye misiba ambayo hata haiwahusu.Nd
Ndio maana mbele watu msiba wa mtu maarufu wanafanya very private
Mwambie arudi alikotoka haraka sana coz yeye hatakufaKuna mmoja kaniudhi kasema ameacha shughuli zake kwa ajili ya huu msiba. Kwani kuna ambaye hajaacha shughuli zake? Kaniudhi sana.
Wanawake ni mitihani sana. Mwanamke usimuingize akawa nguzo kwenye mfumo wa maisha yako. Na ukishaanza fika umri flan like 55 anza kumkataa ki aina uanze ku establish maisha ya kuzeeka kivyako bila ya wao (yeye na watoto hasa wakike) labda kama watoto walinyooka vizuri maana unaweza ukafa kwa stressWewe, unasema wasanii, mzee wangu alipofariki, dada na mama wanabishania rangi za nguo za kuvaa pamoja na mapambo toka siku msiba unaanza mpaka unaisha (Kila siku na rangi yake)!
Mimi chakula hakipandi, mama, dada, mashoga full selfie! Mara kamera yako mbovu!
Ile siku ndiyo niligundua mwanamke hapaswi kupewa uhuru! Yaani anatakiwa aongozwe kwani kujiongoza hawawezi na hata akiongoza atatumia zaidi hisia kuliko akili!
Ibaki kuwa UNASIKIANasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Mmh siyo kweli jamani watu Waongo sana. Caren alimpenda baba yake sana na watu walikuwa wanamuona hospitali. Halafu ni mjamzito kwa hali yake isingekuwa rahisi kwenda hospitali kila siku. . Mengine watu waache angalau dhambi ya uongo kama vingine wameshindwa.Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???
Sio Haji kweli.. na aliahid atakuwa Rombo, lkn nimemwona daslamuHuyo kama siyo Steve Nyerere basi Naukweka mubashara.
WalimwenguMmh siyo kweli jamani watu Waongo sana. Caren alimpenda baba yake sana na watu walikuwa wanamuona hospitali. Halafu ni mjamzito kwa hali yake isingekuwa rahisi kwenda hospitali kila siku. . Mengine watu waache angalau dhambi ya uongo kama vingine wameshindwa.
Na ndo maana tunapendana hatujuan,tunasalimiana na hatujuan. Ni Mungu tuSio maarufu TU, kikawaida msiba ni WA watu wa karibu sana na aliyefariki. Sio kama KiTanzania, msiba mtu yeyote TU anakuja kadiri anavyojisikia na haulizwi kitu na mtu. Hapo usiwasahau wale wanaokuja ili kugonga chai, chakula cha mchana mpaka cha usiku kwenye misiba ambayo hata haiwahusu.
Duuuh mbona hatari, afu mtoto c ndo yeye pekee?Nasikai Karen hajamuuguza baba ake hata kwenda kumuona tu alimuona mwishoni alikuwa anaambiwa ampelekee chakula hakukanyaga kama ni kweli alikosea sana aisew
Yule binti mwingine alomkubali Gadna yupo wapi???