RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

Unaongea tu hata hujatuambia patterns za tabia za hao jamaa zilikuwaje mpaka ukafikia hitimisho kwamba wanajimwambafy
 
😳🙁🤔
Makubwa
 
Yaani kiukweli sipendi hii kitu
Ndo maana maisha ya mbele nayaelewa mno
 
Hiyo ni mwananyamala , Buguruni au Mbagala ,
 
Naomba ile video mdau
 
Binti mmoja wa pekee! Karen

Mwaka juzi alimtambulisha binti mwingine waliyekutana ukubwani lkn leo hajatambulishwa nahisi huyo binti alimtelekeza baba ake kipindi anaumwa hata kwenye msiba leo sikumuona itakua ndio maana hawajamuhesabu.
Pole sana kwa msiba.
 
Mkuu umeiweka vizuri. Mwanamke asipowekewa mipaka ni janga, hana uwezo wa kuchakata vizuri mambo
 
Dunia ya sasa imani kwa watu imepungua sana,watu hawana imani tena,
kwenye msiba ndio sehemu yakutafakari kua na wewe siku yako itafika utalala kama alivyolala huyo marehemu,
ni sehemu ya kutafakari matendo yako na maisha yako kwa ujumla,

Anyway katika haya maisha usitegemee huruma ya mtu,ishi maisha ya kumpendeza Mungu,usimdhulumu mtu,ishi maisha simple tu kadiri Mungu akakavyo kuzuruku.
 
Hiyo ni akili ya mama na dada yako, bilashaka kosa ni la Baba yako kuangalia shape/sura kwa mama yako badala ya akili na hayo ndo matokeo yake. Usitumie mfano huo kuwahukumu wanawake wote maana wapo wanawake smart sana kichwani.
Wanaume tutumie akili wakati wa kuchagua mke maana huyo ndo atayeamua watoto wako waweje.
 
Hoja ya msingi ya mdau ni kuwa, mwanamke awe smart au la, anatakiwa kuongozwa, anatakiwa kusimamiwa.

Unaweza sema sasa mwanamke smart ataongizwaje na mwanaume mbulula?? Jibu ni kuwa - kama mwanamke ni smart bila shaka atachagua kuolewa na smarter, sasa hapo huyo smarter itatakiwe amsimamie na kumuongoza huyu smart. Lazima waongozwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…