RIP Gadner G. Habash, ila wengi waliokuja kwenye msiba wako hawakuja kuomboleza, walikuja kutikisa ili wa-trend

Kwanini mwanamke aongozwe? Ana mapungufu yapi kimaumbile mpaka ahitaji muongozo wa mwanaume?
 
Kuna msiba wa ndugu yangu ulitokea mwezi wa 3, kuna wadada ndio wanaojiitaga sijui BFF, kwenye msiba walivyokuwa karibu na mfiwa wa mume loh, nikajisemesha showoff za msiba tu ili waonekane.

Msiba ulivyoisha, hakuna hata anayekuja kumjulia hali, tumebaki ndugu .ndio tunamfariji.
Misiba ya masikini hata hawaonekani.
 
Kwanini mwanamke aongozwe? Ana mapungufu yapi kimaumbile mpaka ahitaji muongozo wa mwanaume?
Sisi kwenye familia yetu ikitokea msiba etc, tunakaa wote kwa pamoja me na ke, kila mmoja anatoa mchango wake wa mawazo na fedha. Tunashauriana . Tunaamini hata sisi ke tuko smart na mambo yananyooka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…