TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Huyu alikuwa Gen
Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Huyu Mzee wazungu walimkatalia asirudi Tanzania baada ya masomo huko Ulaya.Walimpa kaz kila kitu.Mpaka baba yake Mzee Mtarima alikwenda kuishi huko.Lakin baadae alirejea nchini.
 
Duh! Inasikitisha sana huyu genious kututoka. Nilisoma na mdogo wake. Huyu bwana alikuwa neurosurgeon wa kwanza Tanzania. Enzi zake, alimaliza form 6 na division one ya kipekee akipata Physics A, Chemistry A, Biolology A.

Alipigania Jeshi kuwa na chuo kikuu chake hata akasababisha wanajeshi wengi kusoma kwa kiwango cha juu. Alikuwa Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Science na Tekinolojia.

RIP professor. Mungu awajalie moyo wa hekima ya Mungu ili wayapokee mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu na imani.

Makono rafiki yangu upo wapi, tumepoteana. Kama unaingia humu au mtu yeyote ana mawasiliano naye, tuwasiliane.

Najua Kamanda Siro hatakosekana kwenye msiba huu, maana wote wanatoka Ikizu kule Musoma.

Pole sana kwa kifo cha Kaka yetu.

Mwenye taarifa za taratibu za maziko, tafadhali atuwekee hapa ili tuliopo mbali tuanze kuangalia kama tutaweza kushiriki kumsindikiza huyu ndugu yetu.
 
Aione pia Dkt. Msukuma msomi aliyesomea sijui nini na kuitwa Daktari. R.I.P Prof.
 
Waikizu wengi ni wanafiki, wameshindwa kuendeleza kwao
 
Egypt miaka yote wanaoongoza soldiers waliojificha kwenye suti kama Raia. Na inaonekana imetulia tu.
Egypt imefanya military coups mara mbili tangu iwe republic ila hao marais wake wanadumu muda mrefu ama uchaguzi unafanyika kama kwingineko. Ni muda mchache unakuta wanaongozwa na military junta. Na jeshi lao liko independent kiuchumi hata bajeti linajitegemea, mfumo wao uko tofauti na kwingineko.

Ninachokikataa ni nchi kuongozwa kijeshi, sio wanajeshi kugombea nafasi za siasa. Marekani ina marais kama 30 hivi waliwahi kuwa wanajeshi hata General Eisenhower alitoka kuongoza Allied forces Europe kwenye WW2 akagombea na kuwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…