uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Pumzika mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umenileta huku? Vipi Marco Polo ?Inaonekana Kamanda hakuwa mtu wa kuji mwambafai pamoja na kuwa na CV nzitoView attachment 2576426
Acha uongo gaidi mkubwaNdio alifariki pale Lugaro , Mungu amhifadhi
USSR
zama zake zilikuwa zama za academic profile, zama hizi ni zama za kumiliki hela.
kila mtu yuko faster kumiliki hela.
Sahihizama zake zilikuwa zama za academic profile, zama hizi ni zama za kumiliki hela.
kila mtu yuko faster kumiliki hela.
Ufike msibani sasaDu huyu Mzee tulikuwa tunapiga naye gambe kwenye Bar za Mbezi Beach,Mbezi Juu,Goba ni mkarimu sana. RIP Profesa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Nipo,wewe mbona sijakuona mkuu?Ufike msibani sasa
Huyu alikuwa GenKuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Huyu Mzee wazungu walimkatalia asirudi Tanzania baada ya masomo huko Ulaya.Walimpa kaz kila kitu.Mpaka baba yake Mzee Mtarima alikwenda kuishi huko.Lakin baadae alirejea nchini.Kuna taarifa ya kufariki kwa huyu Major General Prof Yardon Mtarima Kohi,. Wana JF wanaomjua vizuri watupe umahiri wake
View attachment 2576029
Oohh....muda wa kula niliona mtu anaingia na ndizi ya kuiva na pilipili, nimekumbukaNilipita leo msibani kwake tangi bovu
Ova
Ndio maana Wanasheria wanajiita "Wasomi". Ni kwa kuwa field yao inagusa kila nyanja ya maisha. Leo baada ya kusoma hii ndio najua kuwa kuna kitu kinaitwa " medical law".Professor Kohi is a distinguished expert in the fields of Medical law, Medical malpractice and negligence
Egypt miaka yote wanaoongoza soldiers waliojificha kwenye suti kama Raia. Na inaonekana imetulia tu.Sijawahi sikia nchi iliyoongozwa na jeshi na ikafanikiwa. Hata zikiwepo ni chache sana na sijui ni zipi
Mrangi unaitwa huku.Oohh....muda wa kula niliona mtu anaingia na ndizi ya kuiva na pilipili, nimekumbuka
Aione pia Dkt. Msukuma msomi aliyesomea sijui nini na kuitwa Daktari. R.I.P Prof.RIP mmoja wa maofisa wakuu wasomi sana waliopata kuputa ktk TPDF / JWTZ jeshi la Wananchi wa Tanzania
04 /04 / 2023
Dar es Salaam, Tanzania
Obituaries / Milestones / News
The late Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi
Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi
Prof. Maj. Gen. Dr. Yadon Kohi entered peacefully into rest on Sunday, 02nd April, 2023
Professor Yadon Kohi holds Bachelors (LLB) and Masters (LLM) degrees in Law (OUT, Tanzania), Bachelors degree in Medicine(MB ChB) (Makerere) and a Masters degree in Medicine(University of Glasgow, Scotland).
He was the first neurosurgeon in Tanzania. Professor Kohi has had a distinguished career in public service spanning more than thirty years.
He served in the Tanzania Peoples Defence Forces TPDF rising to the rank of Major General.
He has also served as the Director General of the Tanzania Commission for Science and Technology (COSTECH), a State Corporation created to further and promote scientific research and development. He was the vice president of the Africa Malaria Network Trust and has held teaching positions at the Open University of Tanzania.
Professor Kohi was a member of the Tanzania Academy of Sciences and a Fellow of the Royal College of Physicians Surgeons of Glasgow (RCPSG) which was founded 1599.
Professor Kohi is a distinguished expert in the fields of Medical law, Medical malpractice and negligence
Waikizu wengi ni wanafiki, wameshindwa kuendeleza kwaoDuh! Inasikitisha sana huyu genious kututoka. Nilisoma na mdogo wake. Huyu bwana alikuwa neurosurgeon wa kwanza Tanzania. Enzi zake, alimaliza form 6 na division one ya kipekee akipata Physics A, Chemistry A, Biolology A.
Alipigania Jeshi kuwa na chuo kikuu chake hata akasababisha wanajeshi wengi kusoma kwa kiwango cha juu. Alikuwa Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Science na Tekinolojia.
RIP professor. Mungu awajalie moyo wa hekima ya Mungu ili wayapokee mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu na imani.
Makono rafiki yangu upo wapi, tumepoteana. Kama unaingia humu au mtu yeyote ana mawasiliano naye, tuwasiliane.
Najua Kamanda Siro hatakosekana kwenye msiba huu, maana wote wanatoka Ikizu kule Musoma.
Pole sana kwa kifo cha Kaka yetu.
Mwenye taarifa za taratibu za maziko, tafadhali atuwekee hapa ili tuliopo mbali tuanze kuangalia kama tutaweza kushiriki kumsindikiza huyu ndugu yetu.
Bila yeye nisingepata ajira nilipo hapa...Alisimama kidete kupinga mikunjo kunjo...RIEP mwambaalikuw DG wa COSTECH hapo pia!
CCTV ya pale kwenye hoteli Oyterbay iliifuta gari mpaka Mwenge kisha likatokomea.Miamba inaondoka, tunabaki na akina Mambosasa
Egypt imefanya military coups mara mbili tangu iwe republic ila hao marais wake wanadumu muda mrefu ama uchaguzi unafanyika kama kwingineko. Ni muda mchache unakuta wanaongozwa na military junta. Na jeshi lao liko independent kiuchumi hata bajeti linajitegemea, mfumo wao uko tofauti na kwingineko.Egypt miaka yote wanaoongoza soldiers waliojificha kwenye suti kama Raia. Na inaonekana imetulia tu.