TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

Egypt imefanya military coups mara mbili tangu iwe republic ila hao marais wake wanadumu muda mrefu ama uchaguzi unafanyika kama kwingineko. Ni muda mchache unakuta wanaongozwa na military junta. Na jeshi lao liko independent kiuchumi hata bajeti linajitegemea, mfumo wao uko tofauti na kwingineko.

Ninachokikataa ni nchi kuongozwa kijeshi, sio wanajeshi kugombea nafasi za siasa. Marekani ina marais kama 30 hivi waliwahi kuwa wanajeshi hata General Eisenhower alitoka kuongoza Allied forces Europe kwenye WW2 akagombea na kuwa Rais.
Sasa uchaguzi wenyewe wanafanya, kusimamia na kugombea hao hao waliopindua unategemea mpinzani wa kiraia ana nafasi Ya kutangazwa mshindi hata akishinda!? Ni chaguzi hewa tu.
 
Duh! Inasikitisha sana huyu genious kututoka. Nilisoma na mdogo wake. Huyu bwana alikuwa neurosurgeon wa kwanza Tanzania. Enzi zake, alimaliza form 6 na division one ya kipekee akipata Physics A, Chemistry A, Biolology A.

Alipigania Jeshi kuwa na chuo kikuu chake hata akasababisha wanajeshi wengi kusoma kwa kiwango cha juu. Alikuwa Mkurugenzi mkuu wa Tume ya Science na Tekinolojia.

RIP professor. Mungu awajalie moyo wa hekima ya Mungu ili wayapokee mapenzi yake kwa moyo wa unyenyekevu na imani.

Makono rafiki yangu upo wapi, tumepoteana. Kama unaingia humu au mtu yeyote ana mawasiliano naye, tuwasiliane.

Najua Kamanda Siro hatakosekana kwenye msiba huu, maana wote wanatoka Ikizu kule Musoma.

Pole sana kwa kifo cha Kaka yetu.

Mwenye taarifa za taratibu za maziko, tafadhali atuwekee hapa ili tuliopo mbali tuanze kuangalia kama tutaweza kushiriki kumsindikiza huyu ndugu yetu.
Acha uwongo wote hawatokei Ikizu.
 
Major General na Brigadier General nani ni mkubwa kwa mwenzake. Miaka ya 2009/2010 nilipata kushiriki seminar moja pale COSTECH wakati huo ikiongozwa na Kohi. Nakumbuka alikuwa anaitwa kwa cheo cha Brigadier General, Professor Yadon Kohi. PhD. Au kumbukumbu yangu ina walakini?
 
Back
Top Bottom