TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

TANZIA RIP Major General Profesa Yardon Kohi

Upande upi wa tanki bovu, huu wa nyuma ya petrol station au ule wa kule baada ya kuvuka barabara?. Apumzike kwa amani.
Wa kuvuka barabara njia ya kwenda Corner Bar kupitia hapo kwenye soko la Tangi Bovu,nyumba yake imepakana na Corner Bar kama utakuwa mwenyeji maeneo hayo.
 
Huwezi kuwa mjinga kisha ukamiliki pesa. Ila mpumbavu anaweza miliki pesa sio mjinga.
I think it is the other way round; mpumbavu hawezi kumiliki pesa iila mjinga anaweza miliki pesa!! Mpumbavu hawezi kuelimishwa ila Mjinga anaweza elimika na akamiliki pesa!!
 
Major General na Brigadier General nani ni mkubwa kwa mwenzake. Miaka ya 2009/2010 nilipata kushiriki seminar moja pale COSTECH wakati huo ikiongozwa na Kohi. Nakumbuka alikuwa anaitwa kwa cheo cha Brigadier General, Professor Yadon Kohi. PhD. Au kumbukumbu yangu ina walakini?
Meja Jenerali ni mkubwa wa Brigadia Jenerali. Kwahiyo ni sawa itakua alipanda cheo kimoja zaidi baada ya hiyo Semina uliyokutana nae
 
I think it is the other way round; mpumbavu hawezi kumiliki pesa iila mjinga anaweza miliki pesa!! Mpumbavu hawezi kuelimishwa ila Mjinga anaweza elimika na akamiliki pesa!!
Mkuu upumbavu ni kipawa kama vipawa vingine. Ujinga unaweza kuisha ukielimishwa.
Jaribu kufikikiri, baada ya kufanya utafiti wa kina kwa kutumia elimu iliyotukuka unaamua kuhifadhi vyura mia tano kwa shilingi karibia bilioni saba.
Aliyefanya hivi pesa na elimu anavyo, je tumuite mjinga?
 
Jana amezikwa kijijini kwao Busegwe- Butiama. Apumzike kwa amani professor
 
Wa kuvuka barabara njia ya kwenda Corner Bar kupitia hapo kwenye soko la Tangi Bovu,nyumba yake imepakana na Corner Bar kama utakuwa mwenyeji maeneo hayo.
Hayo yalikuwa maeneo yangu ya kujidai miaka ya 2001 wakati hapo pembeni ya barabara zinapaki taksi nyingi na njia ya kuja huku baharini ilikuwa ni ya mchanga mtupu.

Siku hizi pale ilipokuwepo bar ya mji mwema kuna bar nyingine mpya naona vijana wanajirusha mpaka kumi na moja asubuhi. Kumechangamka sana maeneo hayo.
 
Mwamba alikua daktari tena neurosurgeon bado akaona haitoshi, akapiga na sheria. Mtu muhimu sana kwenye jeshi letu.

Rest in Power kamanda, thank you for your service!
Mtani alibukua kwelikweli.
Kanda ya ziwa hakuna vilaza.
Kozi ya neurons sio ya mchezo, madokta vilaza wanaikimbia.
 
Back
Top Bottom