Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Upande upi wa tanki bovu, huu wa nyuma ya petrol station au ule wa kule baada ya kuvuka barabara?. Apumzike kwa amani.Nilipita leo msibani kwake tangi bovu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande upi wa tanki bovu, huu wa nyuma ya petrol station au ule wa kule baada ya kuvuka barabara?. Apumzike kwa amani.Nilipita leo msibani kwake tangi bovu
Ova
Wa kuvuka barabara njia ya kwenda Corner Bar kupitia hapo kwenye soko la Tangi Bovu,nyumba yake imepakana na Corner Bar kama utakuwa mwenyeji maeneo hayo.Upande upi wa tanki bovu, huu wa nyuma ya petrol station au ule wa kule baada ya kuvuka barabara?. Apumzike kwa amani.
I think it is the other way round; mpumbavu hawezi kumiliki pesa iila mjinga anaweza miliki pesa!! Mpumbavu hawezi kuelimishwa ila Mjinga anaweza elimika na akamiliki pesa!!Huwezi kuwa mjinga kisha ukamiliki pesa. Ila mpumbavu anaweza miliki pesa sio mjinga.
Meja Jenerali ni mkubwa wa Brigadia Jenerali. Kwahiyo ni sawa itakua alipanda cheo kimoja zaidi baada ya hiyo Semina uliyokutana naeMajor General na Brigadier General nani ni mkubwa kwa mwenzake. Miaka ya 2009/2010 nilipata kushiriki seminar moja pale COSTECH wakati huo ikiongozwa na Kohi. Nakumbuka alikuwa anaitwa kwa cheo cha Brigadier General, Professor Yadon Kohi. PhD. Au kumbukumbu yangu ina walakini?
Hivi Mambosasa yu wapiMiamba inaondoka, tunabaki na akina Mambosasa
simu ya mdomo.
Kusoa ni muhimu sana mkuu.Aiseeee Kuna watu Wana shule kubwa Sana ....daaaahhhhj
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Upande wa kushoto kama unaelekea tegetaUpande upi wa tanki bovu, huu wa nyuma ya petrol station au ule wa kule baada ya kuvuka barabara?. Apumzike kwa amani.
Mkuu upumbavu ni kipawa kama vipawa vingine. Ujinga unaweza kuisha ukielimishwa.I think it is the other way round; mpumbavu hawezi kumiliki pesa iila mjinga anaweza miliki pesa!! Mpumbavu hawezi kuelimishwa ila Mjinga anaweza elimika na akamiliki pesa!!
Lugaro au sio?!Ndio alifariki pale Lugaro , Mungu amhifadhi
USSR
If you use the past, the future can't find you.Old version[emoji23]
Acha uwongo wote hawatokei Ikizu.
woteNi yupi kati ya hao wawili ambaye siyo mwikizu? Wote nawafahamu vizuri, na ni watu ambao nimeishi nao katika mazingira tofauti tofauti, lakini siyo huko kwao kijijini.
Nawe Unachokochoko Mno
Mambo Sasa Wa MO Dewji Akatuzunguka Eti Wakarudisha Mtu Halafu HawakupatikanaMiamba inaondoka, tunabaki na akina Mambosasa
Hayo yalikuwa maeneo yangu ya kujidai miaka ya 2001 wakati hapo pembeni ya barabara zinapaki taksi nyingi na njia ya kuja huku baharini ilikuwa ni ya mchanga mtupu.Wa kuvuka barabara njia ya kwenda Corner Bar kupitia hapo kwenye soko la Tangi Bovu,nyumba yake imepakana na Corner Bar kama utakuwa mwenyeji maeneo hayo.
Mtani alibukua kwelikweli.Mwamba alikua daktari tena neurosurgeon bado akaona haitoshi, akapiga na sheria. Mtu muhimu sana kwenye jeshi letu.
Rest in Power kamanda, thank you for your service!