Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.

Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur na Wakazakhs, makabila yenye Waislamu wachache ikiwa ni pamoja kuwalazimisha kufanya kazi ngumu katika kambi za Wafungwa. Marekani imeita jambo hilo ni Mauaji ya Halaiki.

Ripoti hiyo ya kurasa 48 ilithibitisha madai kwamba China ilitumia Imani ya Dini kuwaweka kizuizini, na kuchelewa kutolewa ripoti hiyo kumefichua uwepo wa shinikizo la Wanaharakati waliodai Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu, Michelle Bachelet alitaka kuzuia ripoti hiyo.

Ripoti imependekeza serikali ya China kuchukua hatua za haraka kuwaachia watu wote wanaoshikiliwa katika Vituo vya Mafunzo, Magereza au Vizuizi.

===========================

GENEVA — In a long-awaited report released on Wednesday, the United Nations’ human rights office accused China of serious human rights violations that “may constitute international crimes, in particular crimes against humanity,” in its mass detention of Uyghurs and other predominantly Muslim groups in its far western region of Xinjiang.

The assessment was released shortly before midnight in Geneva and minutes before Michelle Bachelet, the U.N. high commissioner for human rights, was set to leave office.

The release ended a nearly yearlong delay that had exposed Ms. Bachelet and her office to fierce pushback by rights groups, activists and others who had accused her of caving to Beijing, which had sought to block the report.

The 48-page report did not use the word “genocide,” a designation applied by the United States and by an unofficial tribunal in Britain last year. But it validated rights groups’ and activists’ claims that China has detained Uyghurs, Kazakhs and others, often for having overseas ties or for expressing religious faith.

The report is “an unprecedented challenge to Beijing’s lies and horrific treatment of Uyghurs,” said Sophie Richardson, the China director for Human Rights Watch. “The high commissioner’s damning findings explain why the Chinese government fought tooth and nail to prevent the publication of her Xinjiang report, which lays bare China’s sweeping rights abuses.”

To Uyghur activists, the report’s findings were a powerful vindication of their yearslong effort to draw attention to the suppression of ethnic minorities in Xinjiang. Beijing has routinely rejected any assertions of arbitrary detentions and abuses in Xinjiang and has accused Uyghur activists of lying. The activists say their families in Xinjiang have been imprisoned, detained and threatened by the authorities to try to silence them.

“It paves the way for meaningful and tangible action by member states, U.N. bodies and the business community,” said Dolkun Isa, president of the World Uyghur Congress. “Accountability starts now,” he added.

New York Times

Kwahiyo wameona leo sio? Kwakua wanachuki na wachina.Watu waliongea sana na hadi wengine waliandamana na kuboycott vitu vya huko wao walikua kimya tu hatar sana!
 
Mmarekani nyapu moja nyoko sana, anajaribu kumpaka mchina kinyesi kisa mchina kamsapoti Putin hapo Ukraine!!! Umbwaaa
nenda kaone wenzio wanavyoteseka , sio kuleta ushabik huku
 
Acheni unafiki wa kuisikiliza Marekani bila kufikiri.
Huko Marekani karibia Wahindi Wekundu wote waliangamizwa.
Ukiona Mmarekani Mweusi ni zao la watumwa waliopelekwa utumwani.
Hadi leo wamarekani weusi wanauwawa kila siku, kama ngedere.
Idadi ya wamarekani weusi katika magereza huko Amerika ni zaidi ya 60% ya wafungwa WOTE wakati idadi ya watu weusi iko 33% tu.

Sasa anatokea mburula kuishutumu China.
wavaa kobaz mnapenda story za kusadikika , waliangamiza watu weupe wenzao wakakiacha kizaz cha akina Jiggah sio ?
 
Unapomnyima mtu msaada kwa sharti la kutambua haki za mashoga sio kulazimisha?
Rejea waziri mkuu wa uk alipolazimisha inchi za afrika kwenye hilo,
Nadhani ni cameron yule kama sikosei
ukimwita mtu kafir usitake kula chake , huo ni unafik
 
Kwahiyo wameona leo sio? Kwakua wanachuki na wachina.Watu waliongea sana na hadi wengine waliandamana na kuboycott vitu vya huko wao walikua kimya tu hatar sana!
hata waliofumbua hayo ni hao USA
 
unakaz fuv san , sheria imetoa uhuru wa ushoga , ss ww sio shoga inakuuma nn
TULIZA MSHONO WAKO BIBI AJUZA, kumbuka umetoka KUJIFUNGUA jana tu kwa KISU🔪🔪🔪 (operesheni)...Sasa ukikasirika hovyo na kupata stress nyingi kwa 'MASHOGA' zako kuongelewa vibaya, utasababisha MSHONO wako kufunguka/ kuchanika tena, na kutupa shida sisi nduguzo ya kuushikiza MSHONO wako kwa 🧷🧷🧷🧷🧷
 
Wapi watu wameshikiwa mtutu waowane waume kwa waume..acha upompoma wewe mfia dini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wala sishangai ndio mnavyofundishwa na dini yenu kutusi watu, any way mie ni mfia dini sasa wewe sijui unadefend kitu gani hapo kama sio uzungu wako,
Halafu ujue kama sijakutusi usinitusi,
Mie sio popoma, unajua nini ushauri wa bure achana na mimi yaani ukiniona tu kama sjakutaja we pita tu,
Vinginevyo utakuwa na wewe unatetea hiyo dini
 
Back
Top Bottom