Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

Hv kwa akili yako hapo utadhani Ngosha ndo alikuwa na uchungu na nchi hii!?
Acheni mama ale bata ni wakati wake and you've nothing to do with her...
 
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Imevunja rekodi? Waimba pambio wa mama hawatakuelewa ujue....!

Kuna mwingine amesema, ni trilioni 33 jumla ya zilizopigwa zote; si kuna zile za mabeberu; mwakani tusipopata za mabeberu, watauana ujue

Tuendelee kuzungumzia 1.5t ya mwendazake
 
Spika alishasema kuwa hamuwezi kuitoa CCM madarakani kwa haki.

Unategemea atakubali haki itendeke kweli?

Tuishi tu maana hakuna namna. Wakianza kutafunana huko ndo haki itaanza kuonekana
 
Hv kwa akili yako hapo utadhani Ngosha ndo alikuwa na uchungu na nchi hii!?
Acheni mama ale bata ni wakati wake and you've nothing to do with her...
Kwa jinsi ulivyo mjinga unaweza kula Bata tu.

Tuna cha kufanya na tunakifanya hapa tunauliza.

Sisi wananchi tunayohaki ya kuuliza, hatutakaa kimya tutaendelea kuuliza hata kama mnaona tunawapigia kelele.
 
Hapa jeshi liko kimya mtu mmoja ama wacenge wachache wanaiharibu nchi yetu na kuwaua watu kimakusudi. Yaani haya Ni mauaji sema jeshi halitetei hata wananchi wake jamani
 
Aliyekataa 2021/22 kuwa Jiwe alishakufa ni nani?
Soma vema mwandishi kaandika ripoti ya mwaka gani ndo urudi tena tuelewane
Ndiyo umjibu kwa hoja sasa. Na wewe unakurupuka tu bila hata haibu!
 
Hii n bajeti iliyoanzia mwaka wa fedha Julai mosi 2021 Hadi Juni 2022. Wakati huu JPM bado alikuwa hai kamanda?. Punguza basi mihemko ukikumbuka kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na Mwisho.
 
Watu walilipizia ile miaka mitano ya Magufuli waliyokuwa wanaogopa kuiba.
Hakuna kipindi ambacho watu waliiba kama kipindi cha Magufuli
Akina Mnyeti, Makonda, Sabaya wakawa mabilionea ghafla
 
Ilibidi ang'olewe . YEYE..
Maana hawezi yawajibisha Mafisadi.
 
Hata mama mwenyewe ni mwizi tu dawa yao hakuna kulipa kodi unalipaje kodi kunafaisha matumbo ya watu huu ni upumbavu naapa tra wakija nawaambia pesa nimetoa wakachukue huko mama na wez wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…