Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tumelogwa na CCMKenya kuna mijizi kibao lakini jamii iko sensitive! Kwa tamko la tulia saa hizi ingekuwa hapa NRB barabara zingefurika akidaiwa aachie ngazi haraka! Hivi Tz tumelogwa?
Hizi fedha zimepelekwa ccm kwa ajili ya kukiokoa chama chetu na uchaguzi wa serikali za mitaa hapo mwakani.Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Akili zimewarudi mmebadilisha mwakaHii n bajeti iliyoanzia mwaka wa fedha Julai mosi 2021 Hadi Juni 2022. Wakati huu JPM bado alikuwa hai kamanda?. Punguza basi mihemko ukikumbuka kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na Mwisho.
Wapuuzi saanaAkili zimewarudi mmebadilisha mwaka
I salute youSamtaim hua nawaza ingekua inawezekana Wajeda wangechukua nchi watupelekeshe miaka mitano tu.
Kwa anavyodai spika kuwa hili ni bunge la bajeti tu mbona alitoa nafasi ya ripoti ya CAG kuwakilishwa bungeni? Watanzania hatukubali wezi kupewa muda wa miezi 6 kama nafasi ya kuharibu ushahidi na nafasi ya kutoa rushwa kubwa kwa vyombo vinavyohusika na ufuatiliaji!!Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
PointiKwa anavyodai spika kuwa hili ni bunge la bajeti tu mbona alitoa nafasi ya ripoti ya CAG kuwakilishwa bungeni? Watanzania hatukubali wezi kupewa muda wa miezi 6 kama nafasi ya kuharibu ushahidi na nafasi ya kutoa rushwa kubwa kwa vyombo vinavyohusika na ufuatiliaji!!
Wajeda wote nchi hii ni watoto wa vigogo kwenye serikali,Nalo ni tatizo kubwa pia.Samtaim hua nawaza ingekua inawezekana Wajeda wangechukua nchi watupelekeshe miaka mitano tu.
Nimekujibu nikufungue tu akili ili nextime husiandike ujinga kama huu tena,huoni Yote ulioandika umepata like moja tu.KILAZA WEWE
NARUDIA KILAZA WEWE SUKUMA GANG.
Natamani nisikueleze kwanini wewe ni kilaza ila ngoja tu nisema:
Ripti ya 2022/2023 bado haijafanyiwa kazi.Ripoti iliyopo ni 2021/2022 sjui wewe huko 2022/2023 umepata wapi.
Ila pia sina hakika na akili zako zilizokutuma nusu ya bajeti sijui unamaanisha bajeti ya mwaka ni 2 trillion au unamaanisha nini.
Pia rudi nyuma fungua website ya CAG upitie ripoti za miaka ya walau kuanzia 2015-2021 halafu uje utueleze umeelewa nini
🤔Wajeda wote nchi hii ni watoto wa vigogo kwenye serikali,Nalo ni tatizo kubwa pia.
Sipika ang'olewe tuWatu walilipizia ile miaka mitano ya Magufuli waliyokuwa wanaogopa kuiba.
Mpina ni nani nchi hii mpaka umwamini, yule anabwabwaja tu baada ya kukosa uwaziri. Nawe kasome taratibu za bunge kufanya shughuli zake usilete ushamba wa kisukuma hapa.Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili