Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili

Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,

Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?

Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?

Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?

Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?

Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Hizi fedha zimepelekwa ccm kwa ajili ya kukiokoa chama chetu na uchaguzi wa serikali za mitaa hapo mwakani.
 
Shida wakubwa ndo wahusika zaidi ndo mana halichukuliwi uzito
 
Kwa kutazama uimara wa bunge letu mimi simlaumu sana madam spika..hayo maamuzi yana baraka zote kutoka kwenye ule mhimili wenye mizizi kuliko mihimili mingine hapa tz
 
Hii n bajeti iliyoanzia mwaka wa fedha Julai mosi 2021 Hadi Juni 2022. Wakati huu JPM bado alikuwa hai kamanda?. Punguza basi mihemko ukikumbuka kuwa hakuna marefu yasiyokuwa na Mwisho.
Akili zimewarudi mmebadilisha mwaka
 
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili

Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,

Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?

Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?

Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?

Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?

Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Kwa anavyodai spika kuwa hili ni bunge la bajeti tu mbona alitoa nafasi ya ripoti ya CAG kuwakilishwa bungeni? Watanzania hatukubali wezi kupewa muda wa miezi 6 kama nafasi ya kuharibu ushahidi na nafasi ya kutoa rushwa kubwa kwa vyombo vinavyohusika na ufuatiliaji!!
 
Pointi
 
KILAZA WEWE
NARUDIA KILAZA WEWE SUKUMA GANG.
Natamani nisikueleze kwanini wewe ni kilaza ila ngoja tu nisema:
Ripti ya 2022/2023 bado haijafanyiwa kazi.Ripoti iliyopo ni 2021/2022 sjui wewe huko 2022/2023 umepata wapi.
Ila pia sina hakika na akili zako zilizokutuma nusu ya bajeti sijui unamaanisha bajeti ya mwaka ni 2 trillion au unamaanisha nini.
Pia rudi nyuma fungua website ya CAG upitie ripoti za miaka ya walau kuanzia 2015-2021 halafu uje utueleze umeelewa nini
Nimekujibu nikufungue tu akili ili nextime husiandike ujinga kama huu tena,huoni Yote ulioandika umepata like moja tu.
Watanzania sio wajinga tena wamebakia na uhoga tu,nao uoga ukiisha Mama pale ikulu hapakaliki tena.
Kamwambie haache kukumbatia wezi kwa kigezo cha yeye kuvaa Ijabu na kutafta support ya kurudi ikulu 2025.
 
Miezi sita ijayo ndo tutawajua weizi wa pesa hizi! Nchi ya ajabu kabisa hii
 
Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???

Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili

Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,

Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?

Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?

Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?

Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?

Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Mpina ni nani nchi hii mpaka umwamini, yule anabwabwaja tu baada ya kukosa uwaziri. Nawe kasome taratibu za bunge kufanya shughuli zake usilete ushamba wa kisukuma hapa.
 
Back
Top Bottom