Wewe ndo kilaza mkubwa. Unawakingia kifua wezi?KILAZA WEWE
NARUDIA KILAZA WEWE SUKUMA GANG.
Natamani nisikueleze kwanini wewe ni kilaza ila ngoja tu nisema:
Ripti ya 2022/2023 bado haijafanyiwa kazi.Ripoti iliyopo ni 2021/2022 sjui wewe huko 2022/2023 umepata wapi.
Ila pia sina hakika na akili zako zilizokutuma nusu ya bajeti sijui unamaanisha bajeti ya mwaka ni 2 trillion au unamaanisha nini.
Pia rudi nyuma fungua website ya CAG upitie ripoti za miaka ya walau kuanzia 2015-2021 halafu uje utueleze umeelewa nini
Huyo jamaa akili hana mkuuWewe ndo kilaza mkubwa. Unawakingia kifua wezi?
Au mwizi wetu ndo wewe?
Trillioni 30????Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Inasikitisha sana mkuuMajizi yanakwenda tena kushirikishwa katika utengenezaji wa bajeti mpya na upigaji utaendelea tena sana tu.
Aisee msoga family wanatutesa sanaKwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???
Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili
Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,
Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?
Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?
Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?
Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?
Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Trilioni 1.5 usijisahaulishe hapa. Mtu aliyefukuza kazi CAG anaanzaje kuwa msafi?Watu walilipizia ile miaka mitano ya Magufuli waliyokuwa wanaogopa kuiba.