Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

KILAZA WEWE
NARUDIA KILAZA WEWE SUKUMA GANG.
Natamani nisikueleze kwanini wewe ni kilaza ila ngoja tu nisema:
Ripti ya 2022/2023 bado haijafanyiwa kazi.Ripoti iliyopo ni 2021/2022 sjui wewe huko 2022/2023 umepata wapi.
Ila pia sina hakika na akili zako zilizokutuma nusu ya bajeti sijui unamaanisha bajeti ya mwaka ni 2 trillion au unamaanisha nini.
Pia rudi nyuma fungua website ya CAG upitie ripoti za miaka ya walau kuanzia 2015-2021 halafu uje utueleze umeelewa nini
Wewe ndo kilaza mkubwa. Unawakingia kifua wezi?
Au mwizi wetu ndo wewe?
 
Sipika anajaribu kupima urefu wa mto kwa miguu
 
Ukiona mkeo anakusifu sana kuwa wewe ni mwelewa!!!
Aiisee broo shtuka kuna namna hapo unachezewa!!
Ndio maaana mimi sitaki kuelewa kabisaaaa
 
Report ya cag ililetwa ili kufuta na kupoteza mjadala wa kina mwakyembe wa ushoga.
Serikali inajua kila linalofanyika
Hawakuwa na mpango wowote wa kuhusu ubadhilifu
 
Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???

Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili

Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,

Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?

Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?

Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?

Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?

Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Trillioni 30????
 
Ukiona mkeo anakusifu sana kuwa wewe ni mwelewa!!!

Aiisee broo shtuka kuna namna hapo unachezewa!!

Ndio maaana mimi sitaki kuelewa kabisaaaa
 
Majizi yanakwenda tena kushirikishwa katika utengenezaji wa bajeti mpya na upigaji utaendelea tena sana tu.
 
Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu???

Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili

Ubadhirifu wa fedha kwa mwaka huu 2021/2022 inakadiriwa kuwa ni nusu ya bajeti nzima ya serikali,

Badala ya mambo yote kusimama bungeni ili kujadiliwa kwa jambo hili zito na la aibu kwa chama Chake mwenyewe na hata bunge analoliongoza, anapendekeza hadi mwezi wa kumi? Miezi sita baada ya report, ni fedheha!
Mbona tumeshuhudia mambo kadhaa Bungeni yakisimamisha vikao halali vya kibunge na kuanza kujadiliwa kama jambo la dharula?

Kwa mjibu wa mbunge mh Mpina, ni Karibu Tr 30 zilizopotea na kuibwa, tutakosaje kulifanya jambo hili kuwa la mhimu kujadiliwa kuliko hata bajeti inayojadiliwa?

Inamaana wezi tunataka kuwapa nafasi hiyo kwa manufaa ya nani?

Bunge lipo kwenye bunge la bajeti, bajeti ambayo itaingia kwenye domo la mafisadi?

Haya mambo huwenda duniani kote hakuna ila utayakuta Tanzania pekee
Aisee msoga family wanatutesa sana
 
Back
Top Bottom