Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Mwanakijiji ni mwanaharakati wa chadema.
Wewe ushajua tatizo lilipo; hata aje nani madarakani ataletwa na hao haoAsante MM kwa uchambuzi wako makini umetusaidia hata tulioshindwa kuisoma barua ile kutokana na kutumia simu!!!!!! Sasa kazi imebaki kwa huyu jamaa wa magogoni nina uhakika hawezi kuchukua hatua yeyote kwa sababu hao ndio waliomweka madarakani,anawaogopa sana hao jamaa zake,
Tutakachosikia ni ngonjera za mwisho za mwisho wa mwezi anazoimba kwenye vyombo vya habar,Au atawaita wazee wa Dar es salaam() au atakuja Salva Rweyemamu kuleta ngonjera kwa niaba ya IKULU? ni maswali bila majibu!!! Tusubiri Tuone!!!!
Wanakamata vidagaa tu,lakini mapapa na manyangumi ya unga yanapeta mitaani
Tumeshawazoea, nyinyi kila kitu ni kupinga tu, hata kama ni cha masilahi ya taifa.
Mimi sidhani tatizo letu hapa ni JK, CCM au serikali. Huu si uchafu mdogo ni uchafu unaohitaji tuunganishe vichwa bila kujali itikadi tutengeneze vita na mikakati ya kuendesha mapambano dhidi ya majanga haya. JK alilivalia njuga lakini kaona hana ubavu nalo na hata akija nani hawezi kuwa na ubavu kama hatuamui kuwa wawazi na kupambana nalo kama vita ya ukweli. Anayebugia anyongwe au akimtaja aliyemuuzia apewe kifungo cha maisha; mbebaji akimaliza kifungo nje akirudi ni kunyongwa na akiweza kuwataja wahusika ni kifungo cha maisha. Wahusika wakuu ni kunyongwa tu moja kwa moja na nchi nzima tuendeshe kura ya siri kuwataja na kuwamaliza.
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Kwahiyo kukataa kulipa kodi ndio jambo la maslahi kwa taifa?
LILA NA FILA HAZITENGAMANI.Huwezi kuongelea mambo ya drug bila kuwagusa CCM where all drug barons is their mothers land.Pia usitake kila anapotaja kiyu amalize listi yote ndo sababu babako alikwambia akili za kuambiwa changanya na za kwako.Mbona ktk serikali ya SSM katujawai kuona akifungwa mtu wa rushwa kubwa wanaotajwa ni wale cheap tu?Mbona EPA walishatakiwa wale wabebaji na siyo wenye mizigo ambao walisamehewa?Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Sasa unafikiri huyo Rais akitupa jicho kushoto kulia anaona walioko kwenye orodha ni walewale wanaotuwekaga madarakani atafanyaje? na kama hatusafishi si hata uongozi utakaoingia madarakani mda wowote utawekwa na hao hao?Kaka are you serious kweli?
Wewe unadhani JK na serikali sio tatizo?..hivi unajua nguvu alikuwa nayo Mh.Rais katiba?..unajua kweli majukumu yake kwa nchi?..ni kweli Rais anaweza kushindwa kitu kiovu kinacoidhuru nchi yake?
Hivi unajua watendaji wa serikali wanalipwa na kupewa vitendea kazi kwa kodi zetu,ili kutulinda,na baadhi ya vyombo ni Jeshi la Polisi,TISS,Kitengo cha Kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya,..kwanini sio tatizo ili hali jamii inangamia?..madawa yamezaga kila kona
Ni kweli jamii inatakiwa ishirikiane,lakini Rais,Serikali kwa maana ya vyombo vinavyohusika lazima vitimize mAJUKUMU yao,wakishindwa waelezwe