Ni kama yana DINI vile ukiangalia wanaotajwa sana na NCHI wanakokamatiwa kwa wingi.Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.
The fact is, nchi haina Rais hii!Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.
Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.
Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.
Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?
Kwani wewe mara ya kwanza kupima afya ni lini naona unaandika kama bado unaumwa,kwa tarifa yako sisi kama chadema dawa za kulevya tulianza kuuza siku nyingi sana ila serikali haiwezi kutukamata kwa sababu tunatoa rushwa sana.Nyie Vyama vya upinzani mnatuchanganya sisi CCM. Tulikunja na njia rahisi ya kujipatia hela wakati wa kapeini kwa utaratibu wa kuchukuwa fedha za EPA Mkatujia juu Mkasema wizi. Tukaona njia nyingine ni MEREMETA na kagoda, bado mkatukaba koo, tumejaribu kuanzisha makampuni tukiwa Ikulu nasi tuonyeshe mfano wa ujasiriamali pia hamkutaka. Ni juzi tu hapa tumeanzisha biashara ya wanyama hai na Pembe za pamoja na nyara nyinginezo pia hamtaki. Kwenye madini bado nako tunajipatia hela kidogo ,maana tumelemewa na wadhugu nako mnatuletea gozigozi. Obama kaja tukajipatia tubilion nane tu lakini mmpaka saaaana. haya sasa madawa kwani tunawalazimisha kuyatumia. Sisi tunaweka sokoni lakini kwa viherehere vyenu mnanusa tu leo imekuwa ni kelele Tanzania nzima na duniaq kwa ujumla. Hii ndio inayotuelekea kuongeza kodi za simu na kodi ambazo mnaziita kero. Tunataka tuwe nau uwezo wa kifedha ili tuweze kupambana vema na upinzani ambao unasuasua, legelege na husio kuwa na mwelekeo.
Mkuu unaelekea kuwa well informed....:shut-mouth:Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.
Wanachofanya ni kununua kilo inategemea na shirika gani la ndege, mashirika mengine mwisho kuuza kilo ni kilo 60, mengine wanauza mpaka kilo 200.
Na katika kufunga mzigo wako box lisizidi kilo 30, kama umenunua kilo 150 funga box/begi, kila 30 kila moja hauwezi kwenda na kilo 150 umeifunga sehemu moja labda kwenye ndege za mizigo lakini siyo za abiria na hawa wauza sembe wanapanda ndege za abiria wanasafiri na mizigo yao.
Ki ukweli sasa hivi ukiingia China au Hong Kong unachekiwa mpaka kero, Hong Kong ndiyo noma zaidi na hivi pale hakuna viza watanzania tunaingia tu.
Lazima wakuhoji wakiona passport ya Tanzania na wanakuweka pembeni wakiwa na wasiwasi wanakuingiza chumbani wanakupa na chai au kahawa huku wanakuangalia kwenye camera, hauwezi kunywa chai au kahawa wakati umebeba sembe, lazima wakumalize.
China wao wakihisi kama umebeba sembe kuna maji yao wanakuambia kunywa haya maji lakini kama umemeza sembe utapata matatizo, kama haujabeba hauwezi kupata madhara kama umebeba utajuta.
Pls MOD msitoe wala kuchanganya uzi huu kama
kweli mnataka tuseme kweli: Ni hivi Mangwear alibeba mzigo wa waziri wa
mambo ya Ndani ya Nchi. Na ilikuwa hivi alimeza
kete za kutosha kusafirisha toka SA kuja bongo
kwa bahati mbaya ndege aliyokuwa kapanga
kuondoka nayo ikahairisha safari. Hivyo mzigo ukaanza kumtesa na kufikia hatua ya
kumpasukia ndani ya tumbo na si kuwa alizidisha
kiasi cha dawa za kulevya katika matumizi. Ninayo clip inamuonyesha jinsi anavyopasuliwa na
kutolewa madawa hayo tumboni. Pia muhusika mwingine ni mmiliki wa Clauds Fm
kwani mara baada ya kifo cha Mangwear
walimtuma mtu wao kwenda kupindisha ukweli
kwa kudanganya uma kuwa kazidisha dozi na
kukana kuwa hakubeba mzigo wakubwa. Mkumbuke hata mara baada ya kutaka kusafirisha
mwili vigogo hao bado walitaka kusafirisha
madawa kwenye mwili wa marehemu. Nasema tena clip ipo MOD nasema ninachokijua
plz usifute
Kitu kingine cha ajabu huyo anayetaja watu na yeye ni mhusika hapo ndipo utachoka maovu yote ambayo mbowe na slaa wanayapigia kelele na wao wanahusika.Ni kama yana DINI vile ukiangalia wanaotajwa sana na NCHI wanakokamatiwa kwa wingi.
Any way, kama ni kutajwa kwa uhalifu wowote ule nchi hii, huwa tunaishia hapo tu, kutajana, basi. Ntatoa mifano michache:
-Dr Slaa na ile "list of shame" pale MwembeYanga. Waliotajwa ni wazito kabisa nchi hii. Hawashtakiki;
-Lowasa na wengine waliotajwa Richmond. Ndio kwanza wanajiandaa kukamata DOLA come 2015, God willing or not;
-Wameuwawa watu hapa Tanzania hadharani, tena kwenye mikutano. Wametajwa watu hapa na pale. Wengine wamepandishwa vyeo, wengine wamevishwa nishani za UTUMISHI ULIOTUKUKA!
Hii ndio TANZANIA baada ya Mwalimu.
Huo uchambuzi umemnufaisha nani?
Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.
jamani ile barua ya kijana ipo, mwenye nayo aiweka hapa
mkuu kuishitaki umoja wa maifa una ushahidi wa kueleweka?Nimepitia comment nyingi hapa watu wana shauri tuungane! Najiuliza uungane na nani!? Fikilia vyombo vya dola ndio vinashiriki magari ya JWTZ yanafanya escort!? Angalia maafisa wa uhamiaji wanampeleka Mtu hadi boarding! Hapa utaungana na nani!? Tokea madawa yameanza kukukamatwa ni lini POLISI waliyateketeza?! Hapa mkuu wa majeshi na mkuu wa polisi ndio wanajua haya Rais ambaye ndio bosi wao yupo kimya!! Labda tushauriane tuishitaki serikali umoja wa mataifa!
mnajuana hadi ID ?Yuko jamaa yangu mmoja tunaye hapa tunasoma hii thread ananiambia: "huyo Mwalimu wako unayemng'ang'ania ndiye alituchelewesha kutajirika na hivyo watu sasa wanatumia kila mbinu kuutafuta utajiri ambao ukishaupata vyeo na madaraka ya kuteuliwa au kuchaguliwa vinafuata vyenyewe"!
Tuishie tu kutajana basi. Utajiri lazima utafutwe kwa kuwa hata wanaoonekana ni matajiri nchi hii hawawezi kusimama hadharani wakasema utajiri wao wameupataje.