Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Naona majina mengi yanatoka magomeni, mahali ambapo JK alishawahi kuishi! so is not a coincidence that JK can not deal with these people
 
Kutajwa kwa chadema kumekuuma kweli!
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
 
This is what happens when a government is run by criminal gangs.
Waliua azimio la arusha, wakaleta la zanzibar. Wakaruhusu wafanyabiashara kuingia ndani ya CCM. Wakasahau kuwa biashara nyingi kubwa kubwa zina-elements of crime. Baadhi ya wafanyabiashara (wahalifu) taratibu wakaanza ku-contol chama, na hata kufikia kuwaweka viongozi madarakani katika ngazi mbalimbali. Hatimaye serikali inaendeshwa na criminals- poachers, drug kingpins na hata majambazi...

Ndio maana wako tayari kuua ilimradi tu wabaki madarakani kuendeleza biashara zao. One should not expect mercy from these criminals.
 

Nadhani kuna umuhimu wa watanzania kubadilika kitabia, tuwe wakweli wa kusema maneno bila kufumbia macho. Kwa nini asiwataje hao anaosema ni wakubwa?? Je tunamatabaka ya wauza unga wasiopaswa kuguswa na sheria? Je kwa nini hajawataja ilhali yeye sasa yupo jela?? Ningefurahi sana kama angetoa haki sawa kwa kumtaja kila muuza madawa hata kama ni rais, mkuu wa majeshi au kama ni askofu au mkuu wa usalama wa taifa, wote tupo sawa mbele za sheria, madhara ya madawa hayaangalii mtoto wa rais au wa mchungaji. Ningefurahi kama mkjj ungeweza kuliandikia makala hilo jambo kwani tangu enzi za mwl sokoine alikatazwa kuwagusa baadhi ya watu kwa kisingizio cha usalama the tukashuhudia kwenye epa, then leo madawa kauli hizo hizo za kutokuwataja wahusika eti ni wakubwa serikalini.
 
Mkuu MM! Ktk orodha yako ya miji yetu inayotumiwa kupitishia hii mihadarati Mtwara inaongoza. Nipo mjini Mtwara kwa muda mrefu na uzoefu binafsi umenifanya nigundue mianya mingi kuanzia Bandarini, Airport na usafiri wa barabara kuingia na kutoka Mtwara.
 
Itakuwa maajabu kweli kweli eti wahalifu wawachukulie hatua wahalifu wenzao. Labda tusubiri utawala mwingine lakini sio huu.

Yale yaliyomkuta Victor wa bodaboda kule Arusha, yawezekana pia yakawakuta vijana wasio hatia kwenye hili just to justify kwamba serikali ya wahalifu imechukua hatua dhidi ya wahalifu wenzao.
 
Madawa ya kulevya hayana chama wala itikadi za kisiasa, wavuta na wauza unga wapo kotekote.

Soma mada iliyoko mbele yako na uielewe.Hii issue ya sembe ni ya serikali na chama tawala,period!

Niliwahi kusema rais wenu mdini mkabisha,sasa ili awanyamazishe chadema "chama cha wakristo",bai akasema listi aliyonayo ya wauza madawa ni maaskofu.

Mmeifikisha hii nchi pabaya sana.
 


Mkuu nimekugonea BIG LIKE nikisubiri hiyo clip

CC Membe2015
 
Last edited by a moderator:
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

Jamani Ritz ana aleji na CHADEMA. Mtampasua moyo. Haya tuseme chama kikuu cha upinzani.
 
Hivi mkuu unafanya kazi airport ama huwa ni mitkasi tu unafuatilia?

Hata Dr Slaa aliporudi ulikuwa wa kwanza kumuona ukidai alizuiliwa asitumie VIP.

Unatia shaka sana miendendo yako mkuu.Tena ukizingatia na haya mambo ya sembe kupita airport kiubwete?
 
Ushahidi unaotolewa na mfungwa anaye/aliye tumikia kifungo, kisheria hauna nguvu mahakamani. Kama anavyo vielelezo (tangible evidence) anaweza kuwa na case, but his substantial evidence will be easy to be thrown. Japo alichosema ni kweli, lakini tunataka kujua majina ya hao viongozi wanaofanya biashara hii. Binafsi yangu, huyu kijana aliyeandika hii barua, bado analo deni kubwa toka kwetu wapenda haki. Weka majina ya vigogo wa serikali
 
Haya yote na mengine kibao tulishayasikia, ina maana serikali ya sicm haitaki kuyashughulikia au mpaka pale vijana wote watakapoishia kwenye magereza ya nje na wengine kunyongwa ndo watawajibika???
Sawa Prezdaa wewe ulimkomboa mwanao na matonya kwa Mtwara ,je hawa walalahoi wengine vipi??
Afu Bagamoyo ,tanga na baadhi ya bandari bubu kwenye fukwe zetu ndo wapakistan washafanya kituo chao kikuu cha kuyasambaza dunian ..
 
Uzi wa Mwanakijiji hauwezi kuunganishwa.

Mkuu nimeamini maneno yako. Jana kuna jamaa alileta hapa uzi wa aina hiyo ukaunganishwa na ule wa EMT ambao una barua ya mkono wa mwandishi ambayo mwanakijiji ameitafasiri hapa. Nilidhani utaunganishwa na wa EMT lakini wapi!
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo hiyo Clip wewe ndiyo umeona hivi karibuni, wameiona miaka miwili au mitatu iliyopita wala siyo Mtanzania yule. Wabongo kwa kuzuwa eti unayo clip.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…