Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.
Mzee Mwanakijiji amesahau kuna mtoto wa kigogo mmoja alinusurika kunyongwa kule China na hadi leo hajakanusha kuhusiana na yeye kunusurika kunyongwa kwa kukamatwa na sembe kule China.
 
Mkuu mimi muuza kahawa tu wala sina kazi zaidi ya hiyo.

Acha uongo,dili mnachungulishana magamba kwa magamba.Kahawa unauza wapi nije piga kikombe?ama utasema mchagga na ghahawa wapi na wapi?utakachosema ni mbege ya kibosho?
 
Na yule mchungaji aliyeshikwa umesahau? List iliyo kuwepo kanisa ndani. Si kasheshe hiyo? Ulitakiwa afunge makanisa?
Kwanini kanisa lifungwe?msikiti wa Ponda umefungwa?

Waliotajwa kwenye issue ya waliokamatwa listi iko hapo juu na viongozi wa juu wa serikali inasemekana wanahusika.Ndo maana huwa hamlali mnakesha humu.Chezeya mkwanja wewe!
 
.....whaaat!!! eti!

kuna jamaa mmoja........kwenye pita pita zangu za hapa na pale aliniambia kuwa Tanzania ni sehemu moja nzuri sana ya "kusafisha pesa".......Sasa nikiunganisha na haya matukio.........naelewa......
Mkuu hii ni issue humu mitandaoni,lakini mtaani ni kawaida kabisa.Nenda hapo Dar,ukiwaulizia hao mazungu unatajiwa wote.Kila mtu anawafahamu.Wasiowafahamu watakuwa wanasikia tu majina yao,lakini wakiulizia wataambia ni mazungu.

Kama unafahamiana na mtu wa magomeni,akikuzungusha mitaani ni lazima akuonyeshe maeneo na mijengo ya hao watu.Hakuna cha ajabu hata kidogo,na wanaweza kukutanisha nao kama unataka.

Tatizo kubwa tulilonalo ni kuwa hao ndo mafinancer wa mkuu wa nchi na chama chake,na pia tatizo kubwa zaidi,viongozi wa serikali yake na chama chake wanahusika.Yani wanaifanyia hii nchi kitu mbaya sana,wanairape bila huruma...Just imagine makashfa yote ya EPA,kagoda,meremeta,the list goes on,akini bado hawana huruma na nguvu kazi ya vijana.

Kuna kid mmoja alikuwa pouwa sana akiwa na last name ya Palangyo wa Arusha,very bright and smart tulisoma naye boarding,alikuja kupoteza maisha kwasababu ya heroin.Ilimbadilisha kabisa na kuwamwaribia maisha yake na hatimaye kumwua.And he was an extraordinary kid!

JK angekuwa mazalendo wa kweli for the country angelimaliza hili sualaNanawafahamu wauzaji na pia anazifahamu atahari zake kwa nguvu kazi ya nchi.

Sasa kahitaji majina kapewa na kuchaguwa kuyakalia,watu watategemea nini zaidi ya kumuhusisha na biashara hiyo directly or indirectly?
 

Whats your point?
Serikali iliyopo madarakani ni jukumu lake kuchukua hatua kama imeshindwa ijiuzulu.

Ulitaka wafunge makanisa? Hususan la Katoliki? soma hapa:

"The Vatican Connection With the Mafia" by Richard Hammer, where the existence of a Sacred Mafia is proven without a doubt, and where the names of papal cardinals and delegates, which have been caught in the traffic of Money laundering, drug trafficking, and the unlawful sales of armaments, and who surround the pope and mock the law with their Vatican passports, are mentioned. Diplomats, Nuncios, Papal Delegates, Cardinals, Primates, Archbishops etc. ... Gordan Thomas' and Max Morgan Witt's book "PONTIF," of 543 pages, where those who form part of the Vatican's Sacred Mafia are described with extravagant details, along with their different Vatican's Organism.

Source:
http://www.bibliotecapleyades.net/vatican/vatican_mafia01.htm
 
Umepotea, wanaobugia ni victim wa wauzaji. na katika wauzaji wako wale wakubwa wanaofadhili usafirishaji na kuwapa wale wanaofanya biashara ya rejareja. Kama ukitaka kushinda vita hii upigani na victim bali na wauzaji...

Nzee kama mimi nimepotea wewe ndio uko kichakani kabisa hebu niambie unaanzia wapi kama si kwa mlaji huyo ndiye anajua katoa kwa nani na huyo nani ataonyesha nani wake hadi tumpate yule papa. Unaposema victim sijui unamaanisha wanabugizwa kinguvu na bure au wananunua kwa hiari; kujinyonga ni kosa na kubugia dawa ni kosa na wanafungwa au tubadilishe na sheria kubugia isiwe kosa ili nawewe ukibugizwa uponee
 
Tanzania tuna bahati mbaya ya kuwa na rais kama Kikwete.
 
Ni kama yana DINI vile ukiangalia wanaotajwa sana na NCHI wanakokamatiwa kwa wingi.

Any way, kama ni kutajwa kwa uhalifu wowote ule nchi hii, huwa tunaishia hapo tu, kutajana, basi. Ntatoa mifano michache:
-Dr Slaa na ile "list of shame" pale MwembeYanga. Waliotajwa ni wazito kabisa nchi hii. Hawashtakiki;
-Lowasa na wengine waliotajwa Richmond. Ndio kwanza wanajiandaa kukamata DOLA come 2015, God willing or not;
-Wameuwawa watu hapa Tanzania hadharani, tena kwenye mikutano. Wametajwa watu hapa na pale. Wengine wamepandishwa vyeo, wengine wamevishwa nishani za UTUMISHI ULIOTUKUKA!

Hii ndio TANZANIA baada ya Mwalimu.

Hawa wamo:

The Vatican Mafia - 01
 
Kuna watu wako busy wanajenga Taifa imara kwa kufanya biashara ya unga...Haijapata kutokea! Na wanaona wamejificha hawaonekani. Dunia inawatazama na ipo siku itawageuka. Tusiharibu ncho yetu kwa kupenda mambo ya shortcut na haramu haramu.
 
Ulitaka wafunge makanisa? Hususan la Katoliki? soma hapa:

"The Vatican Connection With the Mafia" by Richard Hammer, where the existence of a Sacred Mafia is proven without a doubt, and where the names of papal cardinals and delegates, which have been caught in the traffic of Money laundering, drug trafficking, and the unlawful sales of armaments, and who surround the pope and mock the law with their Vatican passports, are mentioned. Diplomats, Nuncios, Papal Delegates, Cardinals, Primates, Archbishops etc. ... Gordan Thomas' and Max Morgan Witt's book "PONTIF," of 543 pages, where those who form part of the Vatican's Sacred Mafia are described with extravagant details, along with their different Vatican's Organism.

Source:
http://www.bibliotecapleyades.net/vatican/vatican_mafia01.htm
Miss Foxy please don't insult our intelligence!

Nchi hii haiongozwi na vatican wala kanisa.Inaongozwa na serikali ya chama cha mapinduzi!

Hii mifano yako inakuwaga ya hovyo sana.Nina wasiwasi kama kweli uko kwenye mfungo,maana una ile kasi ambayo I can almost be certain una kikombe cha ghahawa hapo pembeni na kinakuwa filled up every moment the coffe goes down.

Maana kwa wengine ghahawa ni kilevi kikali kiroba cha mtoto,trust me on this.
 
Ndio umechangia nini hapa?

"The Vatican Connection With the Mafia" by Richard Hammer, where the existence of a Sacred Mafia is proven without a doubt, and where the names of papal cardinals and delegates, which have been caught in the traffic of Money laundering, drug trafficking, and the unlawful sales of armaments, and who surround the pope and mock the law with their Vatican passports, are mentioned. Diplomats, Nuncios, Papal Delegates, Cardinals, Primates, Archbishops etc. ... Gordan Thomas' and Max Morgan Witt's book "PONTIF," of 543 pages, where those who form part of the Vatican's Sacred Mafia are described with extravagant details, along with their different Vatican's Organism.
soma zaidi:The Vatican Mafia - 01
 
mwanakijiji umesahau na majina ya viongozi wa kiroho

Mwanakijiji amenukuu ripoti sasa wewe unamlazimisha awataje viongozi wa kiroho! Kama unayo ripoti nyingine inayowataja ni vema nawe uilete au uongezee hiyo orodha iliyotajwa kwenye hiyo ripoti ili tuwajue.
 
Mimi sidhani tatizo letu hapa ni JK, CCM au serikali. Huu si uchafu mdogo ni uchafu unaohitaji tuunganishe vichwa bila kujali itikadi tutengeneze vita na mikakati ya kuendesha mapambano dhidi ya majanga haya. JK alilivalia njuga lakini kaona hana ubavu nalo na hata akija nani hawezi kuwa na ubavu kama hatuamui kuwa wawazi na kupambana nalo kama vita ya ukweli. Anayebugia anyongwe au akimtaja aliyemuuzia apewe kifungo cha maisha; mbebaji akimaliza kifungo nje akirudi ni kunyongwa na akiweza kuwataja wahusika ni kifungo cha maisha. Wahusika wakuu ni kunyongwa tu moja kwa moja na nchi nzima tuendeshe kura ya siri kuwataja na kuwamaliza.

Hakuna vita isiyokuwa na Jemedari, viongozi wetu wanawajua na hata Mkuu wa nchi ameshakiri kuwa anawafahamu Mabwana wa biashara ya dawa za kulevya lkn amenywea, unategemea Watanzania gani watapigana hivyo vita bila kuwa na Jemedari wa kuongoza vita hivyo?
 
Kutajwa kwa chadema kumekuuma kweli!
Mimi naona watajwe tuuu kwani uwepo wao umesaidia hii nchi kitu gani wakati mauchafu ndio yanazidi kukomaa hizo intelijensia zao si zingetusaidia basi kujua madawa yanavyosafiri au zipo kwa ajili ya kukamata makonteina ya kura tu; wote ndio hao hao hakuna cha cdm wala ccm
 
Beka Ranger ni jirani yake na JK Huko Msoga pia ni mdogo wake wakili wa kujitegemea aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga,Jamani DAMU nzito kuliko Maji!
 
Hakuna vita isiyokuwa na Jemedari, viongozi wetu wanawajua na hata Mkuu wa nchi ameshakiri kuwa anawafahamu Mabwana wa biashara ya dawa za kulevya lkn amenywea, unategemea Watanzania gani watapigana hivyo vita bila kuwa na Jemedari wa kuongoza vita hivyo?
Tuweke wazi kwenye katiba suala la unyongaji na ruhsa ya saini za watu kumuondoa rais madarakani kama hafai au kumshinikiza atekeleze matakwa ya umma sio kungoja fadhila za mtawala
 
Tumeshawazoea, nyinyi kila kitu ni kupinga tu, hata kama ni cha masilahi ya taifa.

Mzee umenikumbusha ile kauli ya Wahafidhina wa Kiyahudi ; 'Je, kuna jambo jema linaweza kutokea Galilaya?'. Hii ndio akili ya Watawala waliochoka, hawaamini kama wamechoka, na mbaya zaidi ni kuwa hawaamini kama wapinzani wao wanalo jambo jema kwa nchi hii!
 
Kubalance story weka na viongozi wa dini wakristo kwa waislam kwa matendo yao maovu.
 
Acha uongo,dili mnachungulishana magamba kwa magamba.Kahawa unauza wapi nije piga kikombe?ama utasema mchagga na ghahawa wapi na wapi?utakachosema ni mbege ya kibosho?
Ghahawa mchagga ndiyo analima, mimi kijiwe changu kipo Kimara Temboni, ukishuka tu kituoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom