Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

Status
Not open for further replies.
Anayejiita askofu ana kanisa?hivi unajuwa kwanini aliamuwa kutumia jina la kiislam katika mizunguko yake ya madawa?

Ngoma Pakistani...

Madawa ya kulevya hayana dini lakini Tanzania wameshashikwa wachungaji na duniani Kanisa katoliki lina kashfa na Vatican wana kashfa chungu nzima za madawa ya kulevya, kulawiti watoto, kulawitiwa mapadre. Yote huyajui au unatetea kwa kuwa ni mmoja wao?
 
Namsubiri sana Mh.Idd Azzan(mb) jimbo la kinondoni kupitia CCM aitishe press conference tumsikilize na tupime hoja zake,nina iman ni mtu makini atajibu hizi allegations

Na pia namsubiria sana Philip Marmo naye aongee kuhusu wafungwa kule Hong Kong pamoja na Watanzania walionyongwa kule China...........
 
Mwanakijiji ni mwanaharakati wa chadema.
Hivi ninyi akina nani hii....kama sio CHADEMA, haya madudu na uhalifu WOTE si mngeendelea kuuficha kama ulivyo utamaduni wenu. In fact by implication you're hereby perpetuating your "ordained culture".

Badala ya kuwekeza kwenye ku-discredit kazi nzuri ya MMM kama mnavyofanya; je ni kwa nini msiwe na huruma angalau kidogo na Watanzania wanaoangamizwa na hao "wafanyabiashara"?

FACTS:
1. Hakuna jema linalotokea nchini iwe directly au indirectly ambalo CHADEMA haihusiki.
2. Hakuna baya linalotokea nchini iwe directly au indirectly ambalo CCM haihusiki. (Wegine wako ukingoni mwa fence)
 
Umeichambua vizuri hiyo barua lakini ulipoingiza mambo ya CHADEMA na CCM uchambuzi wako umekosa nguvu, kama suala la polisi kuwasumbua vyama vya siasa hawajaanza leo mbona haujawasema CUF wewe na CHADEMA tu.

basically ngoja abasilishe aandike ccm inaonewa NA police.
 
Swali la kujiuliza, kama dege la kijeshi liliingia anga ya nchi yetu na kutua ili kuwachukua wanyama wakubwa kama Twiga, tupo salama kweli? Kumbuka ni dege la kijeshi la nchi nyingine tena ya mbali.

Pili, dege hilo lililokuja kuchukua wanyama tuna uhakika gani kama halikupakua mzigo wa madawa ya kulevya kama sehemu ya biashara? Na ilishindikanje endapo halikujulikana limeingieaje nchini.

Tatu, gunia na nusu la madawa lipitaje uwanja wa ndege ili hali kuingiza laptop tu inakuwa nongwa?
Kilo 160 kupitia uwanja wa ndege! je nchi ipo salama.

Ricin ni sumu ya mbegu inayoweza kuua(lethal dose is 20-30 mg) kumbuka 1 Kg is 1000mg.
Gunia moja na nusu linaweza kupita uwanja wa ndege, nini kinashindikana kupitisha robo kilo ya ricin yenye lethal dose 25 kupita uwanja huo huo ulioweza kupitisha Kg 160.
Nchi ipo salama kweli?

Mkuu 1kg ni 1000grams,sio 1000mg!Milligram(mg) ni kipimo kidogo mno cha uzito.

1mg = 0.001grams or

1g =1000mg,
 
Labda ujanielewa vizuri, wala sijakuambia ukiwekwa kwenye mafungu kadhaa itakuwa ngumu kukamatwa.

Wanachofanya ni kununua kilo inategemea na shirika gani la ndege, mashirika mengine mwisho kuuza kilo ni kilo 60, mengine wanauza mpaka kilo 200.

Na katika kufunga mzigo wako box lisizidi kilo 30, kama umenunua kilo 150 funga box/begi, kila 30 kila moja hauwezi kwenda na kilo 150 umeifunga sehemu moja labda kwenye ndege za mizigo lakini siyo za abiria na hawa wauza sembe wanapanda ndege za abiria wanasafiri na mizigo yao.

Ki ukweli sasa hivi ukiingia China au Hong Kong unachekiwa mpaka kero, Hong Kong ndiyo noma zaidi na hivi pale hakuna viza watanzania tunaingia tu.

Lazima wakuhoji wakiona passport ya Tanzania na wanakuweka pembeni wakiwa na wasiwasi wanakuingiza chumbani wanakupa na chai au kahawa huku wanakuangalia kwenye camera, hauwezi kunywa chai au kahawa wakati umebeba sembe, lazima wakumalize.

China wao wakihisi kama umebeba sembe kuna maji yao wanakuambia kunywa haya maji lakini kama umemeza sembe utapata matatizo, kama haujabeba hauwezi kupata madhara kama umebeba utajuta.
Inaonekana una uzoefu kwa vile na wewe ulikwishadakwa huko tehe!! tehe! tehe!!
 
Itakuwa ngumu kuipunguza kasi,kama hakutakuwepo na nia ya kweli,ni vigumu bado kujua nani kingpin wa madawa hayo,kwani usiomdhania anaweza akawa ndio akina Pabro.Lakini mammlaka husika watakapochelewa kuyadhibiti basi itachukua muda mrefu zaidi na pesa nyingi kupambana na kuitokomeza janga hili.
 
Ila Tanzania tuna ugonjwa mbaya, yale yale ya Mwakyembe yanaonekana hapa. Mtu anataabika huko gerezani eti bado anaogopa kuwataja vigogo waliyo serikalini. What a hell!
 
nauliza ile dhana uya kusema serikali ina mkono mrefu imeishia wapi?,na MKONO WA DORA UMEISHIA WAPI?
 
Na pia namsubiria sana Philip Marmo naye aongee kuhusu wafungwa kule Hong Kong pamoja na Watanzania walionyongwa kule China...........

Ogah hawez kuongea maana kwa sasa Marmo si balozi tena wa Tanzania Uchina
 
Last edited by a moderator:
artorius hadi sasa hujui watu makini,yaan azzan ni mtu makini???kwa criteria zipi?,
 
Last edited by a moderator:
Madawa ya kulevya hayana dini lakini Tanzania wameshashikwa wachungaji na dunia Kanisa katoliki lina kashfa na Vatican wana kashfa chungu nzima za madawa ya kulvya, kulawiti watoto, kulawitiwa mapadre. Yote huyajui au unatetea kwa kuwa ni mmoja wao?

dada Faiza,ni muhimu hiyo kauli yako ya kwanza kwamba madawa ya kulevya hayana dini nawe pia uizingatie!tusiweke itikadi wakati watoto wetu wote wakristo kwa waislam wanaangamizwa.uovu hauna itikadi!wenyewe unatafuta nafasi popote pale upate kujipenyeza ulete madhara.na wanaoubeba huo uovu wako hivyo hivyo.mie ni mkristo lakini nakubaliana nawe 100% kuwa makanisa yanatumika kuficha uovu mwingi kama ulivyosema.nakubali kidole chako kuninyooshea kwani ni ukweli mtupu!ninapokubali,napata nafasi ya kugundua kosa langu!kwamba ni kwa kudhani viongozi wa dini ni kama malaika hawawi tempted na uovu ndio maana tumewaacha waovu waingie kanisani na kujificha kwani wanajua watakuwa salama na tutawazungumza vizuri kama malaika na kuwatetea kama watu wema.tunasahau kuwa nao ni binadamu wenye choices,wanaweza kufanya maamuzi mazuri au mabaya.kwa hiyo unapowapa uongozi ujue unawajibika kuwasaidia kuwa viongozi wazuri kwa kuwafuatilia na kuwawajibisha wanapokosea.hali iko hivyo kila mahali hata misikitini.niwakumbushe wale wairan waliokuja Tanzania enzi za Mkapa wakawa wanatembea misikitini kufanya mikutano ya uamsho(mie niliwaona pale mtoni kwa aziz Ally,Dar),baadae ikaja taarifa kuwa wamepigwa stop na kuamriwa kuondoka baada ya kugundulika wanafanya biashara hiyo humo ndani ya misikiti!tuangalie hata maeneo yanayoongoza kwa biashara hii hayachagui dini!dar utakuta ilala,kinondoni,temeke,sinza ndio kunaongoza!nikisema maeneo haya yanaongoza biashara hii kwa vile kumejaa waislam ntakosea!si kweli!Zanzibar,Tanga,Mombasa,kumejaa waislam kibao na ndio maeneo vinara wa kitu hii,lakini hii hainipi authority kucondemn uislam kujihusisha na biashara hii!mie na wewe tutazame vitabu vyetu ni wapi vinaamuru watu kufanya uovu huu?hakuna!kama hakuna,basi huu ni uchaguzi mbaya wa binadamu wenzetu ndani ya dini zetu wawe waumini au viongozi tunapaswa kuungana na kuwawajibisha,nasema tuungane kwa sababu mie na wewe pamoja na kwamba dini,kabila,utaifa huenda tunatofautiana,jambo moja kubwa linatuunganisha,ni waumini wa WEMA,tunaopambana na UOVU.tena nikuambie wakati sie wema tuko makundi makundi,wale waovu wameungana na wanataka kutumaliza kabisa!sasa tusahau uislam,ukristo,uchaga na unyamwezi,tukumbuke wema wetu,tuupiganie hadi mwisho,itakuwa fahari kwa mtu mwema wema ukisimama,itakuwa fahari kwa mwovu uovu ukisimama!
 
Wewe endelea kumdanganya Mzee Mwanakijiji, na wengine ambao hauijui Dar.

Wakati Kikwete anagombea urais huyo Beka rangers alikuwa dalali wa magari tu pale mapipa, eti alimchangia JK, teh teh teh.

Kwa matajiri wa Magomeni hata 1000 bora hayumo.

Ritz nasikia hata wewe pia ni muuza madawa, tangu jana hukuonekana umeonekana leo JF. Unajihami
 
Na ilikuwa hivi alimeza
kete za kutosha kusafirisha toka SA kuja bongo kwa bahati mbaya ndege aliyokuwa kapanga
kuondoka nayo ikahairisha safari. Hivyo mzigo ukaanza kumtesa na kufikia hatua ya
kumpasukia ndani ya tumbo na si kuwa alizidisha kiasi cha dawa za kulevya katika matumizi. Ninayo clip inamuonyesha jinsi anavyopasuliwa na kutolewa madawa hayo tumboni. Nasema tena clip ipo MOD nasema ninachokijua
plz usifute

Mkuu Return Of Undertaker. Ahsante kwa kushea ushuhuda wako katika hili. Isipokuwa kuna hapo kwenye blue. Unaweza kuifanya post hiyo kuwa na maana zaidi kama utafafanua yafuatayo.

a) Uelewa wangu ni kwamba poda inabei zaidi south kuliko Bongo, inakuwaje mtu anatoa kitu Sokoni na kupeleka Shamba? Mfano Utoe ndizi Bukoba Dar upeleke sokoni Bukoka (Katikaswala zima la market imekaaje??)

b) Kuna video iliwahi kuekwa hapa JF kuhusu mtu aliyekuwa anaposuliwa, na watu walisema ni Mangwea ila discussion ilionyesha ni tukio lingine. Wasiwasi wangu isijekuwa ndio video hiyo

BTW: Sipingi maelezo yako kwani sina lalote linawezakuwa kwan chi lipofikia, ila ni vyema u-clarify hayo ila maelezo yaweze kuondoa mashaka madogo

Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom