Kijitonyama
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 250
- 130
http://www.v2catholic.com/johnw/2013/2013-07-21drug-mules.htmNaanza kuhofia Utanzania wangu kama na wenyewe upo salama? Mnaofanya biashara ya kwenda China while passport zenu zikionesha nyie ni Watanzania, hivi Airport za huko hua mnasachiwaje? Nahisi jamaa watakua wanawaona wote ni drug dealers tu!
Hiyo story ni kweli. Original hiyo hapo. Vigogo hawakwepi.