Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

Kwani Profesa Msukuma anasemaje? Mtazamo wake kwenye hili kwenye enzi hizi za utandawazi, utaalamu na teknologia ni upi?😳😲

Hadi sasa si Dr. Msukuma, Kibajaji wala mtemi Kishimba walioweza kuvunja ukimya.

Wanasema kimya kingi kina mshindo mkuu.

Tunasubiri. Ngoja tuone.
 
Kwani Profesa Msukuma anasemaje? Mtazamo wake kwenye hili kwenye enzi hizi za utandawazi, utaalamu na teknologia ni upi?😳[emoji44]
Musukuma na darasa lake lasaba bado asingekuja una uthenge kama huu
 
Nchi hii ingekuwa bado ipo chini ya yule mfugaji wa awamu ya Tano kwa ripoti hii huyo Propesa wa Jalalani angeshapasuliwa Msamba.

Naunga mkono hoja. Ila kumbuka yule mpima mapapai alikuwa shujaa.
 
Ilikuwaje Jafo akamuamini huyu jamaa ambae sio mzalendo?au nae alipewa maelekezo toka juu?Basi Tuseme huko Jalalani kumeisha.

Kuna dalili za maelekezo kutoka juu na CV kubwa iliyotumika ikawa ni katika the end to justify the means.
 
Hawa maprofesa aina hii ndio wanaofanya elimu idharaulike!! Ikiwa kinyesi cha wanyama kinasababisha samaki kufa kwa wingi basi wenye mabwawa ya samaki wasingevuna hata samaki mmoja maana ni kinyesi hichohicho cha mifugo hutumika kuwapatia chakula hao samaki!!!
Maprofesa uchwara wanailinda North Mara baada ya kula chochote huku wakisahau wanadhurika ni ndugu zao na wasichokijua samaki haohao wanaweza kufika kwenye sahani zao pasipo kujua.
 
Houyo profesa kahongwa na migodi.
Jao ng'ombe wameanza kufugwa leo mto Mara?
 
"Kwa sababu wasomi wameshindwa kuiendesha nchi, sasa tuwape nafasi na wa darasa la saba wajaribu" -- alisikika King Msukuma akitiririka bungeni.
 
"Kwa sababu wasomi wameshindwa kuiendesha nchi, sasa tuwape nafasi na wa darasa la saba wajaribu" -- alisikika King Msukuma akitiririka bungeni.
Inasikitisha sana toka maprofesa wameanza kuokotwa majalalani
 
Pascal Mayalla naomba Prof tusimseme vibaya sana nadhani inatosha. Ni dhahiri yupo compromised, na ili kulinda uhai wake ilikuwa ni muhimu kufanya hivyo. Nadhani unakumbuka kipindi cha Makinikia, kamati ilitafutwa na mafiaadi ihongwe hela au iuawe lakini Dkt Magufuli alisimama kidete. Mfano ni hao akina Tundu Lisu, na wengine waliopewa hela ili waandae mazingira ya kupotosha. Kiukweli Prof kalamba hela.
 
"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
 
Bora baada ya waziri kupokea hii ripoti ange iweka kapuni kama kamati za Majaliwa.
Hii ripoti si wajumbe wala waziri, wote wamevutiwa mshiko waandike kinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…