Nakubaliana nawe kabisaaa. Kwa sababu familia yako haijakuswa na kadhia aina hiyo.Mambo madogo hayo mbona
Mkuu, bora chawa anaweza kuvuka barabara na kuhesabu magari. Lakini huyu mwenzetu ni low zaidi ya chawa. Anajua kujibebisha na kujipendekeza inavyostahikiHuu ni uchawa...
Ngoja Tusubiri tuone huko mbele ya safari itakuwa hivi hivi au namna gani vipi !!!Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁
Uwongo wa mchana kweupe! Huwezi kulinganisha police force na police service! Haya mabumunda hapa yana uweledi gani hata PGO yao ni shida!!Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁
PGO inaliruhusu hilo?chap chap afande Shirima wa Kibosho akijipongeza baada ya kusikia hizi taarifa akiwa na yeye ni mmoja wapo.👇
View attachment 2932867
Hebu acheni utani basi!Nilisikia pia jwtz ni la sita kwa ubora duniani 🤣
Basi Afrika uonevu ni mkubwa sana.Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁
HONGERA SANA tanpol.Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁
Weledi kwa nani?Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.
Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1767202964836352353?t=ihB0XlMJQnrIOOJVjxH8Dg&s=19
My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁
Machadema watabisha 🤣🤣👇👇Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 bora barani Afrika zenye askari polisi wenye weledi zaidi, kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni ya Afrobarometer.
Hata hivyo, nchi jirani ya Kenya, imetajwa kuwa miongoni mwa mataifa yenye viwango vya chini vya taaluma ya polisi.
Hayo yamo katika ripoti ya Afrobarometer, iliyofanywa kati ya 2021 na 2023 katika mataifa 39 ya Afrika, ikitoa mwanga juu ya matatizo ambayo wananchi wanakabiliana nayo wanapoingiliana na utekelezaji wa sheria.
Weledi wa vikosi vya polisi kote barani Afrika umekuwa suala la kuchunguzwa kwa muda mrefu, ikizingatiwa jukumu lao muhimu katika kudumisha sheria na utulivu, kutekeleza sheria, na kulinda haki za raia.
Licha ya mafanikio kadhaa, nchi nyingi zinaendelea kukabiliwa na changamoto kama vile rushwa, matumizi ya nguvu kupita kiasi, na ukosefu wa uwajibikaji, jambo ambalo linaondoa imani ya wananchi.