Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

Ripoti: Polisi ya Tanzania yashika namba 9 kwa Uweledi Afrika. Kenya haipo popote

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 bora barani Afrika zenye askari polisi wenye weledi zaidi, kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni ya Afrobarometer.

Hata hivyo, nchi jirani ya Kenya, imetajwa kuwa miongoni mwa mataifa yenye viwango vya chini vya taaluma ya polisi.

Hayo yamo katika ripoti ya Afrobarometer, iliyofanywa kati ya 2021 na 2023 katika mataifa 39 ya Afrika, ikitoa mwanga juu ya matatizo ambayo wananchi wanakabiliana nayo wanapoingiliana na utekelezaji wa sheria.

Weledi wa vikosi vya polisi kote barani Afrika umekuwa suala la kuchunguzwa kwa muda mrefu, ikizingatiwa jukumu lao muhimu katika kudumisha sheria na utulivu, kutekeleza sheria, na kulinda haki za raia.

Licha ya mafanikio kadhaa, nchi nyingi zinaendelea kukabiliwa na changamoto kama vile rushwa, matumizi ya nguvu kupita kiasi, na ukosefu wa uwajibikaji, jambo ambalo linaondoa imani ya wananchi.
Hawa hawa wataalam wa intelijensia?
 
Jeshi la Polisi Tanzania latajwa miongoni mwa Majeshi Bora yanayotumia Uweledi kwenye utendaji wake.

Tanzanian Police imeshika namba 9 kwenye 10 Bora huku Majirani zetu hakuna hata mmja anaetufikia.

My Take
Hongera Jeshi la Polisi Tanzania ndio maana hata Machadema wanapoandamana walitegemea muwape kiki kwa.kuwapiga mabomu lakini wameachwa wamepoteana 😁😁

====

Police professionalism in Africa has been a topic of ongoing scrutiny and improvement over the years. Across the continent, police forces are entrusted with the critical role of maintaining public order, enforcing the law, and safeguarding citizens' rights.

However, many African countries face challenges in ensuring that their police services meet international standards of professionalism, which are vital for upholding justice, human rights, and public trust.

One of the key challenges to police professionalism in Africa is corruption. In several countries, police officers are often seen as part of a larger system of patronage or are expected to accept bribes. Consequently, citizens may view the police not as protectors of the law but as part of the problem itself.

Despite challenges, some African police forces have made significant strides toward professionalism. An Afrobarometer report conducted between 2021 and 2023 revealed that only one in three Africans say their police usually operate in a professional manner and respect citizens’ rights.

The survey covering 39 African countries sheds light on the challenges many Africans face when seeking the protection that law enforcement agencies are supposed to offer.

Among respondents who sought police assistance during the year in review, 54% said it was easy to get the help they needed, but 36% said the had to pay a bribe.

According to the report, Burkina Faso (68%), Morocco (64%), and Benin (61%) score highest on the professionalism dimension while achieving moderate (Burkina Faso and Morocco) to high (Benin) scores on the corruption measure (i.e. moderate to low levels of corruption).

Below are the 10 African countries with the highest level of police professionalism:​


In contrast, Sudan (30%), Sierra Leone (30%), Gabon (29%), and Congo-Brazzaville (28%) score worst on professionalism while also showing moderate to poor scores in terms of corruption and police brutality.

Business Insider Africa
Hawa waloiandika ni kama vile ni machawa wetu walorudisha ripoti tulowaoagiza wakaiandike. Kweli, xixi ni #9 kw weledi!! Kama ndivyo, hali halixi ktk nchi zngne Afrika zikoje! But again, on second thoughts, I believe they portray a complete/perfect image of the African leaders-the ones they protect. Halafu watachukulia hilo andiko kama msahafu ...duh!
 
Hawa waloiandika ni kama vile ni machawa wetu walorudisha ripoti tulowaoagiza wakaiandike. Kweli, xixi ni #9 kw weledi!! Kama ndivyo, hali halixi ktk nchi zngne Afrika zikoje! But again, on second thoughts, I believe they portray a complete/perfect image of the African leaders-the ones they protect. Halafu watachukulia hilo andiko kama msahafu ...duh!
Tena sio namba 9,Kuna ripoti ya mwisho wa mwaka Polisi wetu wameshika namba 6 Kwa weledi.
 
Back
Top Bottom