Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa.

Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder amesema takwimu hizo zimewashangaza kwasababu Umoja wa Mataifa ulilenga kutokomeza aina zote za utumwa wa kisasa ifikapo mwaka wa 2030, lakini badala yake idadi iliongezeka kwa watu milioni 10 kati ya 2016 na 2021.

Ripoti hiyo imeonesha pia kuwa mtu mmoja kati ya kila watu 150 duniani amenaswa kwenye utumwa wa kisasa.

=============================

The number of people trapped in forced labour or forced marriage and other crises has swelled by a fifth in recent years to about 50 million on any given day, the United Nations’ International Labour Organization (ILO) said on Monday.

The study by the UN agencies for labour and migration along with the Walk Free Foundation found that at the end of last year, more than half of those had been forced to work against their will and the rest forced into marriage, the ILO said.

That means nearly one out of every 150 people in the world are caught up in modern forms of slavery, the report said.

Both came under its definition of modern slavery as they involved people who “cannot refuse or cannot leave because of threats, violence, deception, abuse of power or other forms of coercion”, it added.

The UN had set a goal to eradicate all forms of modern slavery by 2030, but the number of people caught up in forced labour or forced marriage ballooned by 10 million between 2016 and 2021, according to a new report.

AFP
 
Daa kuna ukweli,lakini ninachojua hata wao wapo pale UN kwa kulazimishwa na njaa zao,hapa duniani hatujichagulii bali mifumo inatulazimisha!!
 
Kwenye familia ya Mama now rip watoto wao wanalazimishwa ndoa za kisiasa kwa lengo la kulinda damu alafu waafrika wakifanya wanaonekana wanamaisha ya kuto starabika shenzi kabisa
 
Hakuna anaelazimishwa kuishi ndoani kwa nguvu,

Ni shida tu, inabidi uvumilie
Kwahiyo itawachukua muda sana kuondoa the so called utumwa wa kisasa eti,

mifumo wanatuletea wao mfano makompyutahata n.k,chanjo tunaletewa na kulazimishwa kuchanja ukikataa unawekewa vikwazo!
 
Back
Top Bottom