Ripoti WFP: Watu Milioni 27 hawana Chakula Kusini mwa Afrika, Watoto Milioni 21 wamepata Utapiamlo

Ripoti WFP: Watu Milioni 27 hawana Chakula Kusini mwa Afrika, Watoto Milioni 21 wamepata Utapiamlo

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
1729061855995.png

Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na uhakika wa Chakula.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), takriban Watoto Milioni 21 katika nchi hizo wameripotiwa kuwa na Utapiamlo unaosababishwa ukosefu wa Lishe Bora.

WFP imeeleza kuwa ili kukabiliana na hali hiyo inayosababisha Watoto kupata Mlo mmoja au kukosa kabisa, zinahitajika takriban Tsh. Trilioni 1 (Dola Milioni 369) ambapo hadi sasa imepokea Theluthi moja tu ya kiasi hicho kutoka kwa Wafadhili.


Millions of people across southern Africa are facing the worst food crisis in decades, the World Food Programme (WFP) said on Tuesday, warning that its ability to provide relief risks being stymied by funding shortfalls.

Amid unprecedented drought conditions, a record five countries - Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia and Zimbabwe - have declared a state of disaster and called for international humanitarian support, the U.N. agency said. Angola and Mozambique are also badly affected and around 21 million children are malnourished.

"Unless we receive additional resources, millions of people risk going through the worst lean season in decades without assistance," WFP spokesperson Tomson Phiri told a Geneva press briefing.

The agency is planning to provide food and, in some cases, cash assistance to more than 6.5 million people in the seven hardest-hit countries to cover the period until the next harvest in March.

The WFP said, however, that it had only received about a fifth of the $369 million it needed.

"Crops failed, livestock has perished and children are lucky to receive even one meal per day. The situation is dire, and the need for action has never been clearer," said Phiri.

REUTERS
 
Back
Top Bottom