Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Huo ni ujinga najua wewe ulivyo zuzu hujui hata maana ya mauaji ya kimbari unapata mihemko tu ya kijinga na kipumbavu ya waarabu ambao Nia yao kubwa ni kutaka huruma tu kutoka jumuia za kimataifa na kuwapakaza Israel ili kueneza chuki zao kwa nchi hiyo.Hahahaha Mods wa JF nao wafuasi wa Israel wame edit uzi wangu wametoa maauji ya Kimbari😀😀
Endeleeni na uzi wenu mnavyotaka mauaji ya Kimbari siyo maneno yangu.
Amnesty wanasema Israel wamefanya mauji ya Kombari Mods wa JF hawataki😀
Acheni ushabiki
Ki-Ukweli hakuna mauaji ya kimbari huko Gaza unless hujui maana ya MAUAJI YA KIMBARI!!!
Hao Amnesty International walikuwa wapi Oct 07,2023? Wamesubiri Israel imeanza kuchukua hatua wao nao ndiyo wameanza Kubwabwaja ovyo ovyo.
Mashirika yote ya Umoja wa Mataifa yalifumbia macho matukio ya kutisha yaliyofanywa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023 ambapo watu walibakwa waliteswa,Walitekwa na wengine kuuwawa kikatili leo hii wanakumbuka Shuka wakati kumekucha!!! Waache kuwafanya watu wajinga kama wao!!!