Huo ni ujinga najua wewe ulivyo zuzu hujui hata maana ya mauaji ya kimbari unapata mihemko tu ya kijinga na kipumbavu ya waarabu ambao Nia yao kubwa ni kutaka huruma tu kutoka jumuia za kimataifa na kuwapakaza Israel ili kueneza chuki zao kwa nchi hiyo.
Ki-Ukweli hakuna mauaji ya kimbari huko Gaza unless hujui maana ya MAUAJI YA KIMBARI!!!
Hao Amnesty International walikuwa wapi Oct 07,2023? Wamesubiri Israel imeanza kuchukua hatua wao nao ndiyo wameanza Kubwabwaja ovyo ovyo.
Mashirika yote ya Umoja wa Mataifa yalifumbia macho matukio ya kutisha yaliyofanywa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07,2023 ambapo watu walibakwa waliteswa,Walitekwa na wengine kuuwawa kikatili leo hii wanakumbuka Shuka wakati kumekucha!!! Waache kuwafanya watu wajinga kama wao!!!