Ripoti ya benki ya Dunia inaonesha Zimbabwe ina nafasi nzuri kwa mazingira ya uwekezaji kuliko Tanzania

Jibu lake hilo hapo chini mkuu,sijui hata kama ameelewa nilichomuuliza mkuu.
Unapaswa kuelewa lengo la mleta mada kabla ya kunielewa,

Ila sikulazimishi kunielewa kwakua mrengo wako wa kisiasa unafahamika kuwa unalandana na aliyeleta huu upupu hapa jamvini.

Kama mleta mada Ana malengo mema, kwanini kaopt kupublish factor moja tu ambayo no negative na kuacha nyingine mbili ambazo ni positive kwetu.

Kwa kusema hayo machache utaona kwamba lengo la mleta mada ni ovu kwa kuharibu image kumbe anasahau attachment zake zinamuumbua pia mwenyewe.

Aibu kwa mabavicha na Lisu.
 
Hivi wewe umewai fika sehemu gani hapa duniani??? Maana kutoka kijijini kuja Dar es Salaam ndo umeona Tanzania ni kila kitu eeh????

Kwa taarifa yako ukitembea nchi zilizoendelea kutuzidi hata hapa Africa tu, ndo utaamini kuwa unaishi kwenye utopolo wa ajabu!!
Jibu zuri sana, maana watu wengine wanatia aibu sana.
 
Hivi wewe umewai fika sehemu gani hapa duniani??? Maana kutoka kijijini kuja Dar es Salaam ndo umeona Tanzania ni kila kitu eeh????

Kwa taarifa yako ukitembea nchi zilizoendelea kutuzidi hata hapa Africa tu, ndo utaamini kuwa unaishi kwenye utopolo wa ajabu!!
Mkuu zaidi ya bukoba na hapo kimara kuna nchi nyingine ambayo ushawahi tembelea??
 
To mention the few,kwa Africa tu , South Africa, Eswatini, Rwanda, Kenya, Uganda, Mozambique, Botswana, Egypt, Algeria , Ghana, Ivory Coast na Nigeria

Nje ya Africa, UAE, UK, Holland, German, China, South Korea na USA
 
Mazingira mazuri ni kuruhusu kuibiwa hapo nimekuelewa.

Ila kuanzisha na kufanya biashara hapo tumewazidi na ndio muhimu zaidi ila mleta mada kwa hila zako tu ukaamua kuchagua kile kitachoifanya nafsi yako iridhike.
Unamuonea mtoa mada. Yaan nikashtukia ameipost tu coz imempendeza machoni pake.

Haina maana ameelewa dhana ya bandiko hili. Kwake yeye nikwamba, CCM na JPM wachafuke kwa bandiko hili. [emoji28][emoji38][emoji1][emoji41]
 
Unapaswa kuelewa lengo la mleta mada kabla ya kunielewa,

Ila sikulazimishi kunielewa kwakua mrengo wako wa kisiasa unafahamika kuwa unalandana na aliyeleta huu upupu hapa jamvini.

Kama mleta mada Ana malengo mema, kwanini kaopt kupublish factor moja tu ambayo no negative na kuacha nyingine mbili ambazo ni positive kwetu.

Kwa kusema hayo machache utaona kwamba lengo la mleta mada ni ovu kwa kuharibu image kumbe anasahau attachment zake zinamuumbua pia mwenyewe.

Aibu kwa mabavicha na Lisu.

Mauritius aliyeshika No. 1 anaibiwa nini?
 
To mention the few,kwa Africa tu , South Africa, Eswatini, Rwanda, Kenya, Uganda, Mozambique, Botswana, Egypt, Algeria , Ghana, Ivory Coast na Nigeria

Nje ya Africa, UAE, UK, Holland, German, China, South Korea na USA
Kawadanganye hao bavicha wenzako.
 
Anakurupuka na kukabidhi mamaake kwa muuza jogoo unategemea atapeleka nchi wapi
 
Hi
Unamuonea mtoa mada. Yaan nikashtukia ameipost tu coz imempendeza machoni pake.

Haina maana ameelewa dhana ya bandiko hili. Kwake yeye nikwamba, CCM na JPM wachafuke kwa bandiko hili. [emoji28][emoji38][emoji1][emoji41]
Wanadhani wanavyodanganyana kuwa Lisu ni mwanasheria nguli dunia nzima na wakakubaliana awe mgombea wa Urais basi kila mtu atakubalina nao.

Mleta mada kasahau kuwa alichokiambatanisha hapa kina mfanya aonekane malengo yake ni yapi.
 
Back
Top Bottom