Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
TO HELL WITH THIS BANANA REPUBLIC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TO HELL WITH THIS BANANA REPUBLIC
Unapaswa kuelewa lengo la mleta mada kabla ya kunielewa,Jibu lake hilo hapo chini mkuu,sijui hata kama ameelewa nilichomuuliza mkuu.
Jibu zuri sana, maana watu wengine wanatia aibu sana.Hivi wewe umewai fika sehemu gani hapa duniani??? Maana kutoka kijijini kuja Dar es Salaam ndo umeona Tanzania ni kila kitu eeh????
Kwa taarifa yako ukitembea nchi zilizoendelea kutuzidi hata hapa Africa tu, ndo utaamini kuwa unaishi kwenye utopolo wa ajabu!!
Mkuu zaidi ya bukoba na hapo kimara kuna nchi nyingine ambayo ushawahi tembelea??Hivi wewe umewai fika sehemu gani hapa duniani??? Maana kutoka kijijini kuja Dar es Salaam ndo umeona Tanzania ni kila kitu eeh????
Kwa taarifa yako ukitembea nchi zilizoendelea kutuzidi hata hapa Africa tu, ndo utaamini kuwa unaishi kwenye utopolo wa ajabu!!
Wapuuzi wa CCM hawa wanetuharibia nchi alafu wanatuona sie wote Wajinga kwa kutulisha mapropaganda yao ya kijingaJibu zuri sana, maana watu wengine wanatia aibu sana.
Akili hizi ndizo Think tank za ccm, mmeharibu uchumi na nchi labisaHata Taifa stars huwa inafungwa na Zimbabwe sasa unashangaa nini bwashee?
Hamia huko sasa.
Mbavu zangu jamanHata Taifa stars huwa inafungwa na Zimbabwe sasa unashangaa nini bwashee?
To mention the few,kwa Africa tu , South Africa, Eswatini, Rwanda, Kenya, Uganda, Mozambique, Botswana, Egypt, Algeria , Ghana, Ivory Coast na NigeriaMkuu zaidi ya bukoba na hapo kimara kuna nchi nyingine ambayo ushawahi tembelea??
Unamuonea mtoa mada. Yaan nikashtukia ameipost tu coz imempendeza machoni pake.Mazingira mazuri ni kuruhusu kuibiwa hapo nimekuelewa.
Ila kuanzisha na kufanya biashara hapo tumewazidi na ndio muhimu zaidi ila mleta mada kwa hila zako tu ukaamua kuchagua kile kitachoifanya nafsi yako iridhike.
Unapaswa kuelewa lengo la mleta mada kabla ya kunielewa,
Ila sikulazimishi kunielewa kwakua mrengo wako wa kisiasa unafahamika kuwa unalandana na aliyeleta huu upupu hapa jamvini.
Kama mleta mada Ana malengo mema, kwanini kaopt kupublish factor moja tu ambayo no negative na kuacha nyingine mbili ambazo ni positive kwetu.
Kwa kusema hayo machache utaona kwamba lengo la mleta mada ni ovu kwa kuharibu image kumbe anasahau attachment zake zinamuumbua pia mwenyewe.
Aibu kwa mabavicha na Lisu.
Kumeeekucha kumeekuuucha waambie hatuna shida sisi tupo uchumi wakati waache wivu
Kawadanganye hao bavicha wenzako.To mention the few,kwa Africa tu , South Africa, Eswatini, Rwanda, Kenya, Uganda, Mozambique, Botswana, Egypt, Algeria , Ghana, Ivory Coast na Nigeria
Nje ya Africa, UAE, UK, Holland, German, China, South Korea na USA
Sasa unabisha, unakataa au wivu tu???!Kawadanganye hao bavicha wenzako.
Wanadhani wanavyodanganyana kuwa Lisu ni mwanasheria nguli dunia nzima na wakakubaliana awe mgombea wa Urais basi kila mtu atakubalina nao.Unamuonea mtoa mada. Yaan nikashtukia ameipost tu coz imempendeza machoni pake.
Haina maana ameelewa dhana ya bandiko hili. Kwake yeye nikwamba, CCM na JPM wachafuke kwa bandiko hili. [emoji28][emoji38][emoji1][emoji41]
Utanisababishia ban bure nikiweka details zako zote hapa.Sasa unabisha, unakataa au wivu tu???!
Ziweke tu !! Mie nimekuruhusuUtanisababishia ban bure nikiweka details zako zote hapa.